China Yakataza Sherehe Za Krismasi

China Yakataza Sherehe Za Krismasi

FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2016
Posts
5,500
Reaction score
8,067
China imekuwa ikikataza wananchi wake kusherehekea Sikukuu ya Krismasi,

Badala yake wananchi wametakiwa kuzingatia katika kukuza utamaduni wa jadi wa Kichina.

Katika mji wa kaskazini wa Langfang katika jimbo la Hebei, viongozi wa jiji waliamuru mapambo yote ya Krismasi kuondolewa na walizuia maduka kuuza bidhaa za Krismasi. Viongozi walisema hatua hiyo ilikuwa na lengo la "kudumisha utulivu" na kudhibiti 'machinga' mitaani.

Katika Changsha, jimbo la Kati la Hunan, shirika la elimu wiki iliyopita lilitoa maelekezo kwa shule, kutosherehekea "sherehe za magharibi" kama vile Krismasi, ikiwa ni pamoja na kuweka mapambo, kutuma ujumbe kuhusiana na Krismasi au kubadilishana zawadi. Vilevile miji minne ya Kichina na kata moja imeyafungia mapambo ya Krismasi.

Jijini Beijing, maduka makubwa bado yamekuwa yakiendelea kuweka mapambo na bidhaa mbalimbali mahususi kwa ajili ya Sikukuu ya Krismasi.

1545672210371.png

Picha: Mapambo ya Krismasi kwenye mtaa mmoja huko jijini Shanghai nchini China (Picha: STR/AFP/Getty Images )

Chanzo: The Guardian

=========================
China cracks down on Christmas celebrations.

Citizens told to focus on promoting traditional Chinese culture amid broader clampdown on churches.

China is cracking down on Christmas. Several cities, schools, and government institutions have ordered citizens not to celebrate the holiday and to instead focus on promoting traditional Chinese culture.

In the northern city of Langfang in Hebei province, city officials ordered all Christmas decorations to be cleared and forbade shops from selling Christmas-themed goods. Officials said the measure was aimed at “maintaining stability” and controlling street hawkers.

In Changsha, in central Hunan province, the education bureau last week issued a directive to schools not to celebrate “western festivals” such as Christmas, including putting up decorations, posting related messages or exchanging gifts. At least four Chinese cities and one county have issued a ban on Christmas decorations, according to Associated Press.

A teacher in Huangshan in Anhui province issued a reminder on Weibo on Christmas Eve to follow a recent notice from the propaganda department not to attend Christmas parties, post related messages on the popular messaging apps WeChat or QQ, or give teachers “peace apples”, a tradition in China. The term for Christmas Eve, pinganye, or peaceful night, is similar to that of the world “apple”.

Teachers should “strengthen the education of Chinese traditional culture for students and guide students to refuse overseas festivals such as Christmas”, the teacher posted on Weibo.

The notices come amid a broader crackdown on underground churches. Last week, police raided a children’s Bible class in Guangzhou. Earlier this month, authorities shut down the Early Rain Covenant Church in Chengdu, arresting 100 members. In September, China shut down one of the largest underground churches, Beijing’s Zion Church.

Chinese citizens are allowed to practise any of the five religions officially recognised by the government, which includes Protestantism and Catholicism. However, religious activities outside of officially sanctioned institutions is banned.

Observers say the restrictions are less about an attack on Christianity and more about how local governments are interpreting a directive from the ruling Communist party to promote traditional Chinese culture. The Chinese Communist party is officially atheist and, over the past year, has emphasised the need for party cadres to abandon religious attachments.

“Many other countries have already accepted China’s spring festival, which is reported in China as a victory of cultural export. By that logic, there should be no problem with Christmas in China,” Wuyue Sanren, a popular Chinese commentator, wrote online, referring to China’s new year celebration.

“It’s an issue of cultural confidence. As long as we are confident about our culture, we won’t be be afraid of your ‘western festivals’. If it’s fun, we’ll accept it,” he wrote.

For many in China, Christmas has little to do with religion. In Beijing, shopping centres were still decorated with Christmas decorations on Christmas Eve. As in western countries, the holiday is also a shopping event, with discounts on games, makeup and other goods.

Source: The Guardian
 
Sio Ukristo tu pia uislamu,hujasikia China wamekamata waislamu zaidi ya milioni Moja wamewekwa kwenye makambi huko wanafundishwa kufata tamaduni za kichina.
Wanataka kuanzisha cultural revolution ya mzee Mao.
God is whatching.
 
Dini iliyoletwa na mzungu/Paulo na hao hao eti wanamuabudu huyo mungu mtu/yesu aliyesulubiwa msalabani, wachina wajanja sana hawataki ujinga,, wameshtukia wameona huu ni upumbavu tu, utamuabudu vipi binadamu mwenzio!! Soon itapotezwa hii dini.
hata waislam wanasumbuliwa Mkuu.
Sio rahisi kuupoteza ukristo.
 
Hizi dini za uislam na ukristo siku moja zitakuwa kama walokole tuu
 
Hao wananchi wachina ni Zaidi ya kuwa *******

Wana nchi mpo billion mnatishiwa na serkali ya watu mia tano ya Beijing ?
 
Dini iliyoletwa na mzungu/Paulo na hao hao eti wanamuabudu huyo mungu mtu/yesu aliyesulubiwa msalabani, wachina wajanja sana hawataki ujinga,, wameshtukia wameona huu ni upumbavu tu, utamuabudu vipi binadamu mwenzio!! Soon itapotezwa hii dini.
Wachina na waelewa sana " hawataki kuiga iga wana heshimu tamaduni zao ..wanajua wazi kuwa chanzo kimoja wapo kikui cha migogoro duniani ni hizi dini 2,..(Christian/ Muslim)
 
Wachina na waelewa sana " hawataki kuiga iga wana heshimu tamaduni zao ..wanajua wazi kuwa chanzo kimoja wapo kikui cha migogoro duniani ni hizi dini 2,..(Christian/ Muslim)
Migogoro huletwa na watu na sio dini kama dini mkuu,halafu wachina wanaheshimu tamaduni gani maana hao wachina wametuzidi kwa kufuata mambo ya kizungu.
 
Mi nadhani watafanikiwa maana muamko wa hizi dini unapungua sana siku hizi. Ukienda kanisani siku hizi watu sio wengi kama hapo nyuma kidogo.
Sawa Unavyosema Muamko Unapungua Ila Bado Kwa Kiasi Kikubwa Ushawishi Wa Hizi Dini Ni Mkubwa. Achilia Mbali Na Tamaduni Zingine Za Kimagharibi Kimesambaa Sana. Watafanikiwa Kweli?
 
Ukristo utapotezwa mkuu, ila uislamu ndio unazidi kunawiri kila kukicha.
Nani kakuongopea?! Hakuna Nchi waislamu wananyanyaswa Kama China,tena sasa hivi wanadakwa na kuwekwa kwenye makambi kuwatoa Habari za Quran tukufu na kuwafunza tamaduni za kichina kwa lazima.
Baada ya Marekani na UN kuihutumu China kwa kufanya vitendo hivyo mara ya kwanza China ilikanusha ila baadae wakaja kukubali na kusema kwamba wanawafunza kufata tamaduni za kichina
 
Mi nadhani watafanikiwa maana muamko wa hizi dini unapungua sana siku hizi. Ukienda kanisani siku hizi watu sio wengi kama hapo nyuma kidogo.
SIDHANI. Usicheze na Mambo ya imani mkuu,watawasumbua na kuwatesa lakini ipo siku watashindwa maana Ukristo na Uislamu unazidi kusambaa China,Kama watataka waendelee na umoja kama Nchi bhas hawana budi kukaa nao pamoja ila kuwatesa ni kama kutaka kutengeneza kundi ambalo litaona kama linanyanyaswa na wao watataka kupigania haki zao,hapo Sasa ndo Moto utakapowaka. Kumbuka hata Al shabab na Boko zilianzaga hivyohivyo
 
Tungefanya sisi Tz tungenyimwa misaada mpaka tuheshimu haki za kibinaadamu kumbe haki ni kwa asiye nacho tu eee basi sawa.
 
Back
Top Bottom