said Nundu JR
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 464
- 358
Donald Trump kuwa Raisi wa Amerika ni "ajali ya kisiasa"
Je Afrika imewahi kuwa na ajali ya kisiasa?
Kila kitu kinatengenezwa usimwone pale washakaa vikao kibao na kuamua kumtunuku "watu wa system nyuma ya pazia" hakuna cha ajali kila kitu hutengenezwaDonald Trump kuwa Raisi wa Amerika ni "ajali ya kisiasa"
Yeah US hawana ajaliKila kitu kinatengenezwa usimwone pale washakaa vikao kibao na kuamua kumtunuku "watu wa system nyuma ya pazia" hakuna cha ajali kila kitu hutengenezwa
Kina Nani wanayo?Yeah US hawana ajali
Kinapangwa na Nani?Hakuna ajali ya kisiasa, kila kitu huwa kinapangwa.