Kwa ufupi sana resistance imesimama zaidi Yemen kwa usaidizi wa karibu kabisa " technically" kutoka Iran.
Tumeona shifting kutoka US zaidi ya mara 3 kuhusu houthi na misimamo Yao.
Israel imekua...
Maelfu ya vijana wamejitokeza tena mitaani katika mji mkuu Antananarivo, wakiendelea kushinikiza serikali kushughulikia ukosefu wa maji, kukatika kwa umeme, na ufisadi. Tizama hali ilivyokuwa...
Seychelles itashiriki tena uchaguzi wa urais baada ya kukosekana mshindi wa moja kwa moja, kwa taarifa iliyotolewa na Tume ya Uchaguzi Septemba 28, 2025. Mgombea wa upinzani Patrick Herminie...
Makanisa huko Ulaya ambako ndio watu wa mwanzo kupokea ukristo na baadae waliowatuma wamissionari kuja kuwalaghai Waafrica na kuwaingiza kwenye Imani yao ambayo Sasa wameanza kuwapeleka Sodoma...
Maandamano hayo yalioyotokea katika miji mikubwa ya italia yenye wito wa kuupinga uhusiano wa kifedha, kisiasa na kijeshi kati ya Italia na Israel, na kuhakikisha misaada ya kibinadamu inaingia...
Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amemteua Jenerali wa Jeshi 'Ruphin Fortunat Zafisambo kuwa Waziri Mkuu licha ya Waandamanaji kutaka Rais ajiuzulu
Uteuzi wa 'Ruphin Fortunat Zafisambo'...
Rais wa Marekani, Donald Trump, amejiweka katikati ya mazungumzo kuhusu amani ya Gaza, akionyesha juhudi binafsi za kuhakikisha makubaliano yanafikiwa haraka. Tofauti kubwa katika mazungumzo haya...
Hata wewe unaweza kuproove.
1. Tumia app ya kuedit picha kama Photoshop, unaweza tumia ya online photopea.com
2. Download logo ya chatgpt
3. weka logo 2 za Chat GPT ( Duplicate )
4. Logo...
Kristi Noem, mwanamama mtata anayesinamia idara ya uhamiaji Marekani (ICE) amejikuta katika kizazaa baada ya kufungiwa milango na kuzuiliwa nje asitumie choo cha jengo la manasipaa katika jimbo la...
Waziri Mkuu wa Ufaransa, Sebastien Lecornu, amejiuzulu leo Jumatatu Oktoba 6, 2025, zikiwa ni wiki chache tu tangu aingie madarakani hatua inayoongeza zaidi mzozo wa kisiasa unaoikumba nchi hiyo...
Serikali ya Morocco imesema iko tayari kusikiliza na kushughulikia malalamiko yanayochochea maandamano ya vijana ambayo yameutikisa nchi kwa siku kadhaa. Kauli hiyo imetolewa siku moja baada ya...
Bunge la Chad limepitisha marekebisho ya katiba yatakayomruhusu Rais kuongeza muda wa kukaa madarakani kutoka miaka 5 hadi 7 bila kikomo cha mihula, hatua iliyopigiwa kura na wabunge 171 na sasa...
Mbali na staili yake ya uongozi wa kimabavu lakini kwenye hili hatuna budi kumpa tiki kubwa sana.
Kuna nchi nyingi Afrika zinazoongozwa kimabavu na chache zinazojitahidi demokrasia lakini bado...
Kwa nini taifa la Israel na wanamichezo kutoka Israel wanaruhusiwa kushiriki mashindano ya kimataifa wakati Russia imezuiliwa ?
Mfano: tukianza na mpira wa miguu, shirikisho la mpira wa miguu...
Watawala wa Houth huko Yemen wametangaza rasmi kuanza mashambulizi ya meli za marekani zinazofanya biashara ya mafuta na wamesema kwamba makubaliano yao na Rais Donald Trump yamesitishwa..
Kwa...
Waziri wa Mambo ya ndani wa Israel Itamar Ben-Gvir awatembelea wafungwa wa flotilla wa Gaza: Msafara amabao walikuwa wanajidai eti wanapeleka misaada Gaza waziri Itamar Ben-Gvir amesema watu hao...
Nimesoma huo mpango wa point 21 wa kuleta amani Palestina naona ni kama mtego kuwaachia mateka na kujisalimisha rasmi katika utawala wa kimabavu wa Israel.
Eti Baraza la amani la mpito la...
Raia mmoja wa Tunisia, Saber Chouchane (56), amehukumiwa adhabu ya kifo kwa kosa la kuchapisha kwenye mtandao wa Facebook, maneno yanayodaiwa kumkashifu Rais Kais Saied na kudhalilisha vyombo vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.