Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 8,629
- 7,351
Waziri wa Mambo ya ndani wa Israel Itamar Ben-Gvir awatembelea wafungwa wa flotilla wa Gaza: Msafara amabao walikuwa wanajidai eti wanapeleka misaada Gaza waziri Itamar Ben-Gvir amesema watu hao wanapaswa kufa maana wanashirikiana na magaidi wa awasaidie ili waendeleze UGAIDI wao. “Hao Wote ni magaidi." Wanapaswa kufyekwa ili ujinga kama huu usijirudie tena!!!!!!