International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Waziri Mkuu wa Ufaransa, Sebastien Lecornu, amejiuzulu leo Jumatatu Oktoba 6, 2025, zikiwa ni wiki chache tu tangu aingie madarakani hatua inayoongeza zaidi mzozo wa kisiasa unaoikumba nchi hiyo...
0 Reactions
1 Replies
245 Views
Serikali ya Morocco imesema iko tayari kusikiliza na kushughulikia malalamiko yanayochochea maandamano ya vijana ambayo yameutikisa nchi kwa siku kadhaa. Kauli hiyo imetolewa siku moja baada ya...
2 Reactions
3 Replies
306 Views
Bunge la Chad limepitisha marekebisho ya katiba yatakayomruhusu Rais kuongeza muda wa kukaa madarakani kutoka miaka 5 hadi 7 bila kikomo cha mihula, hatua iliyopigiwa kura na wabunge 171 na sasa...
1 Reactions
9 Replies
604 Views
Mbali na staili yake ya uongozi wa kimabavu lakini kwenye hili hatuna budi kumpa tiki kubwa sana. Kuna nchi nyingi Afrika zinazoongozwa kimabavu na chache zinazojitahidi demokrasia lakini bado...
1 Reactions
10 Replies
716 Views
Kwa nini taifa la Israel na wanamichezo kutoka Israel wanaruhusiwa kushiriki mashindano ya kimataifa wakati Russia imezuiliwa ? Mfano: tukianza na mpira wa miguu, shirikisho la mpira wa miguu...
3 Reactions
27 Replies
890 Views
Watawala wa Houth huko Yemen wametangaza rasmi kuanza mashambulizi ya meli za marekani zinazofanya biashara ya mafuta na wamesema kwamba makubaliano yao na Rais Donald Trump yamesitishwa.. Kwa...
4 Reactions
20 Replies
973 Views
Waziri wa Mambo ya ndani wa Israel Itamar Ben-Gvir awatembelea wafungwa wa flotilla wa Gaza: Msafara amabao walikuwa wanajidai eti wanapeleka misaada Gaza waziri Itamar Ben-Gvir amesema watu hao...
3 Reactions
7 Replies
381 Views
Nimesoma huo mpango wa point 21 wa kuleta amani Palestina naona ni kama mtego kuwaachia mateka na kujisalimisha rasmi katika utawala wa kimabavu wa Israel. Eti Baraza la amani la mpito la...
6 Reactions
52 Replies
1K Views
Raia mmoja wa Tunisia, Saber Chouchane (56), amehukumiwa adhabu ya kifo kwa kosa la kuchapisha kwenye mtandao wa Facebook, maneno yanayodaiwa kumkashifu Rais Kais Saied na kudhalilisha vyombo vya...
1 Reactions
3 Replies
208 Views
Rais wa Marekani awaambia Israel ‘kuacha mara moja kurusha mabomu Gaza’, asema Hamas iko tayari kwa ‘amani ya kudumu’. Hamas imesema inakubali sehemu kadhaa za mpango wa Rais wa Marekani Donald...
1 Reactions
4 Replies
334 Views
Wanaukumbi. Baadhi ya nchi kama Qatar, Misri, Uturuki, Pakisatan, Jordan, Falme za Kiarabu, Iran na Ulaya, kuomba Hamas kukubali mpango wa Amani. Hamas imewasilisha majibu yake kwa makubaliano...
2 Reactions
10 Replies
455 Views
Mtoto wa aliyewahi kuwa Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, amefikishwa katika mahakama ya Harare nchini humo akikabiliwa na shtaka la kupatikana na dawa za kulevya aina ya bangi. Kwa mujibu wa...
3 Reactions
7 Replies
561 Views
US ya sasa chini ya Trump ni mapambano na mshikemshike kila kona. Wanajeshi wamezagaa kila kona na silaha, watu wanakwidwa na kubebwa mzobemzibe sio poa.
1 Reactions
2 Replies
171 Views
Jihad Al-Shamie, mwenye umri wa miaka 35, raia wa Uingereza mwenye asili ya Syria, aliwagonga watu kwa gari kisha akaanza kuwachoma visu nje ya sinagogi la Kiyahudi la Heaton Park jijini...
2 Reactions
10 Replies
493 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Tesla, Elon Musk, ameweka rekodi ya kihistoria Oktoba 1, 2025 baada ya kufikia utajiri wa karibu $500 bilioni, sawa na takribani Shilingi za Kitanzania Kadrilioni 1.2 (zaidi...
5 Reactions
38 Replies
3K Views
Israel imetumia ndege za Kimarekani za F-35 kuishambulia Iran. Ndege hizo zina uwezo wa kujazwa mafuta zikiwa angani. Uwezo huo wa midair refueling Israel haina. Marekani, ambao ndo...
29 Reactions
190 Replies
7K Views
Rais wa Korea Kusini, Lee Jae Myung, ameomba radhi rasmi siku ya Alhamisi kwa niaba ya taifa lake kutokana na usimamizi mbovu wa programu za uasili wa watoto nje ya nchi ambazo zilikuwa zimejaa...
0 Reactions
0 Replies
212 Views
Kwa muda mrefu nchini Nigeria kumekuwa na vikundi vya kigaidi vinavyoua wakristo kwasababu wana dini tofauti, Hata hivyo vyombo vya habari vimekuwa kimya. kupitia mtandao huru wa X watu wengi...
0 Reactions
13 Replies
457 Views
Back
Top Bottom