International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Takribani watu 30 wamepoteza maisha na zaidi ya 200 kujeruhiwa baada ya skafoldi kuporomoka katika Kanisa la Menjar Shenkora Arerti Mariam, jimbo la Amhara kaskazini mwa Ethiopia. Tukio hilo...
0 Reactions
3 Replies
251 Views
Wakuu, Nimekutana na clip ya askari wa ICE wa Marekani ambao wanahusika na masuala ya uhamiaji wakiwa wanamfukuzia huyu jamaa kwenye kibaiskeli chake Huyu jamaa ni mtu wa delivery na ili tukio...
4 Reactions
7 Replies
379 Views
Kwa Mujibu wa Taarifa zilizochapishwa na Mashirika Mbalimbali ya Habari Septemba 29, 2025, Vijana wa Morocco waliongoza maandamano makubwa wakipambana na polisi na kufunga barabara kuu katika kile...
0 Reactions
6 Replies
372 Views
Mfalme kuwa na mamlaka ya kuongoza serikali Mamlaka ya kuendesha serikali yako mikononi mwa Waziri Mkuu na Baraza la Mawaziri. Mfalme hawezi kuamua sera za nchi wala kutoa maagizo kwa serikali...
1 Reactions
17 Replies
742 Views
Serikali ya Marekani imefungwa kuanzia saa sita usiku wa kuamkia Jumatano (saa 4:00) baada ya wabunge kushindwa kufikia makubaliano ya bajeti. Hali hii imesababisha baadhi ya huduma za serikali...
3 Reactions
9 Replies
567 Views
UAE imeweka masharti magumu kwa nchi za kiafrika https://m.youtube.com/watch?v=jFr3iC4irFw UAE na Abu Dhabi kuanzia January 2026 zuio hilo litaanza kutumika biashara, matembezi, kazi . Raia wa...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Takribani watu 69 wamefariki dunia kufuatia tetemeko kubwa la ardhi lililokumba jimbo la kati nchini Ufilipino usiku wa Septemba 30, 2025 Tetemeko hilo lenye ukubwa wa 6.9 katika kipimo cha...
2 Reactions
6 Replies
283 Views
Mamlaka ya Paris yanafanya uchunguzi juu ya kifo cha balozi wa Afrika Kusini nchini Ufaransa, Nkosinathi Emmanuel Mthethwa, ambaye alipatikana nje ya hoteli ya ghorofa nyingi siku ya Jumanne...
2 Reactions
3 Replies
322 Views
Serikali ya Marekani imefungwa rasmi baada ya Bunge la Congress kushindwa kufikia makubaliano ya ufadhili wa kuendesha shughuli za kila siku, na hali iliyobaki kuwa sintofahamu kuhusu...
1 Reactions
1 Replies
238 Views
Kuna hii Video kutoka BBC Eye inaonyesha jinsi maandamano ya Gen Z Occupy Parliament na jinsi gani waliohusika kufanya mauaji na kuonyesha kulikuwa hakuna sababu ya kufanya mauaji hayo..... Very...
3 Reactions
2 Replies
314 Views
Rais Trump: "Historia imetuonyesha kwamba wale walio na uhusiano na Israeli wamestawi, wakati wale ambao wamejitolea rasilimali zao kuangamiza Israeli wamedhoofika"
1 Reactions
3 Replies
287 Views
Chama cha The Democratic Union of Builders (UDB), kilichozinduliwa miezi michache tu iliyopita na Rais Brice Oligui Nguema, kimeongoza katika awamu ya kwanza ya uchaguzi wa wabunge nchini Gabon...
0 Reactions
0 Replies
176 Views
Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) pamoja na Shirika la Usalama wa Ndani (Shin Bet) wamesema kwamba Muhammad Rashid Muhammad Masri, aliyekuwa kamanda wa kikosi cha Nukhba katika Batalioni ya Beit...
0 Reactions
0 Replies
255 Views
Kanali (res.) Hezi Nehama, askari mkuu wa akiba wa IDF, alizuia shambulio ikwenye makutano ya Al Khader kwenye Njia ya 60 baada ya Kipalestina kuwashambulia vijana wawili wa Israel na kujaribu...
0 Reactions
0 Replies
199 Views
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo amewapa Chemsha-Bongo baraza la Umoja wa Mataifa!!!!
5 Reactions
89 Replies
3K Views
Wakuu Sema linapokuja la kuwa serious na sheria, Serikali ya China kama iko serious sana. Yaani adhabu zinagaiwa kama pipi. Huku kwetu kuna wale watu wa tuma kwa namba hii wanaendelea kupeta tu...
0 Reactions
2 Replies
213 Views
Mahakama ya kijeshi DRC imemhukumu kifo aliyekuwa Rais Joseph Kabila, ikimtia hatiani kwa usaliti na uhalifu dhidi ya binadamu. Chama chake PPRD kimesema kesi hiyo ni ya kisiasa dhidi ya mpinzani...
0 Reactions
2 Replies
452 Views
Muda mfupi uliopita, Rais Trump na Waziri Mkuu Netanyahu, wameongea na waandishi wa habari kuhusu mpango wa kumaluza vita Gaza, wenye vipengere 20. Netanyahi amesema kuwa anaukubali mpango huo...
4 Reactions
47 Replies
2K Views
Mahakama ya kijeshi Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, leo Septemba 30 imemuhukumu aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo Joseph Kabila adhabu ya kifo baada ya kupatikana na hatia ya uasi na makosa...
1 Reactions
4 Replies
273 Views
Serikali ya Taliban nchini Afghanistan imezima huduma zote za mawasiliano, wiki chache baada ya kuanza kukata nyaya kuu za intaneti za 'fibre optic' Kwa sasa, nchi nzima iko gizani kimtandao, kwa...
4 Reactions
15 Replies
602 Views
Back
Top Bottom