International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Waziri Mkuu Netanyahu anasema Israel iko katika hatua nzuri ya kufikia malengo yake, haswa kuwarudisha mateka wote. Anamshukuru Rais Trump, Jared Kushner, na Steve Witkoff kwa jukumu lao muhimu...
0 Reactions
0 Replies
176 Views
Anaitwa Mchungaji Robert Morris, amewahi kuwa Kiongozi wa kanisa kubwa la kiroho Texas, mshauri wa kiroho na rafiki kubwa wa Rais Trump.
2 Reactions
19 Replies
751 Views
Katika pitapita zangu nikakutana na hii video jamaa anamuuliza mdau mwingine kuwa kwa nini Hawa wafuasi wa Palestina na Uislamu hawawezi kupeperusha bendera ya Palestina wakiwa kwenye mataifa ya...
8 Reactions
19 Replies
1K Views
https://youtube.com/shorts/BcPMdncuO2M?si=d_GrBtIPloZPcaqo Hivi atasubutu kumgusa China, nimebidi kucheka tu.
5 Reactions
14 Replies
750 Views
Maneno kama “Mshiriki mwenye ushawishi mkubwa zaidi katika masuala ya kimataifa”, “Mshirika wa kuaminika”, “China inazidi kuvutia”. Yanasikika zaidi katika zama hizi. Hivi karibuni, hojaji...
1 Reactions
1 Replies
304 Views
Rais wa Marekani Donald Trump kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Truth social ameandika kuhusu Makubaliano ya awali ya amani kati ya Israel na kundi la Hamas na kuwa mateka wote wataachiwa huru na...
1 Reactions
1 Replies
217 Views
Waandamanaji nchini Madagascar wamekataa kushiriki mazungumzo yaliyotangazwa na Rais Andry Rajoelina Oktoba 8, 2025, wakimtuhumu kiongozi huyo na serikali yake kwa vitendo vya ukandamizaji. Rais...
0 Reactions
1 Replies
272 Views
Baada ya Majeshi shupavu ya Israel kushusha kipondo kikali kwa magaidi wa Hamas hatimaye usiku wa kuamkia leo wamekubali kwa hiari yao kuwaachia mateka waliowateka Oct 07,2023. Kukubali kwao...
0 Reactions
1 Replies
241 Views
Uchaguzi wa Malawi uliofanyika na Malawi kupata Rais wa kuongoza nchi ya Malawi. Rais wa Malawi aliyechaguliwa hatomaliza miaka yake mitano ijayo ataondoshwa. Huu ni uhakika wa 100% ataondoshwa...
2 Reactions
14 Replies
717 Views
HUU HAPA MPANGO WA KUMALIZA VITA YA GHAZA AMBAO ULIMWENGU WOTE UMEUKUBALI KUWA UNAFAA . Na Tonny Gwanco Mpango wa Amani wa Gaza wenye vipengele 20 uliotolewa na Donald Trump Waziri Mkuu wa...
9 Reactions
27 Replies
1K Views
Ukichunguza vizuri nchi hizi utaona ndiyo vinara wa rushwa duniani. Rushwa zao wamezifichaficha na kuzihalalisha kwenye makaratasi. US wanapeana rushwa kubwa kubwa wanazoita lobbying. Unakuta...
1 Reactions
5 Replies
248 Views
Serikali ya Ivory Coast imepiga marufuku mikutano na maandamano ya umma yanayolenga kupinga kuondolewa kwa viongozi wakuu wa upinzani kwenye uchaguzi wa urais unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25...
1 Reactions
7 Replies
415 Views
Serikali ya Somalia imetangaza mpango wa kuingiza lugha ya Kiswahili katika mitaala ya shule na vyuo vikuu kama sehemu ya juhudi pana za kuimarisha ushirikiano wake ndani ya Jumuiya ya Afrika...
1 Reactions
2 Replies
330 Views
Rais wa Cameroon mwenye umri wa miaka 92, Paul Biya, ameonekana hadharani Jumanne Oktoba 7, 2025 katika mkutano wake wa kwanza wa kampeni kuelekea uchaguzi mkuu ujao, ambapo kiongozi huyo mkongwe...
0 Reactions
1 Replies
283 Views
Vijana wa Morocco wameingia barabarani, wanakiwasha, ifahamike hawa vijana wa Gen Z huwapumbazi kwa chochote, hata utumie dini hawatakuskliza, boresha uchumi na mifumo tu basi................ A...
0 Reactions
0 Replies
214 Views
Wakuu, Nimeshangaa sana kukutana na list hii. Kwa hiyo Uingereza kwa siku moja approximately wanakamata watu 30 kutokana na comments wanazotoa mitandaoni. Inakuwaje kuwaje, Russia na China...
3 Reactions
13 Replies
512 Views
Kinyume na katiba ya nchi hiyo Trump amepeleka majeshi ya jimbo lingine(Texas) kafanya kile anachoita operation ya usalama wa raia katika jimbo lingine(Illinois) kwa madai ya ukosefu wa usalama...
0 Reactions
2 Replies
308 Views
Wanaodhani Lengo la Putin ni kuchukua Ukraine Kisha Kutawala Ulaya Wanajidanganya – Hiki Ndicho Kitakachotokea Vita Vikilipuka Kati ya Urusi na NATO Mvutano kati ya NATO na Urusi umeongezeka...
8 Reactions
12 Replies
2K Views
Rais wa Marekani, Donald Trump, amethibitisha kwamba rapa na mfanyabiashara maarufu Sean “Diddy” Combs amemuomba msamaha wa rais kufuatia kesi yake ya jinai ya shirikisho. Trump alitoa kauli hiyo...
2 Reactions
4 Replies
619 Views
Oct 07,2023 haikuwa "mgogoro." Ilikuwa ni mauaji ya kutisha dhidi ya Wayahudi. Wanadamu 1200 walichinjwa. Raia walichukuliwa hadi Gaza kama mateka. Na ulimwengu ukaona. Kisha zikaja...
1 Reactions
2 Replies
209 Views
Back
Top Bottom