International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wanajeshi nchini Madagascar wamejiunga na raia katika maandamano makubwa kupinga utawala uliopo, hatua ambayo imeibua taharuki kubwa kutokana na nadra ya jeshi kushiriki moja kwa moja kwenye...
1 Reactions
4 Replies
252 Views
Brazil imekataa kuidhinisha uteuzi wa Gali Dagan, aliyewahi kuwa balozi wa Israel nchini Colombia, kuwa balozi mpya wa Israel nchini Brazil, na kuacha nafasi hiyo ikiwa wazi, vyombo vya habari vya...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Mara ya mwisho Trump kuandika gazeti refu kama hili lini ?maana kalalamika sana humu😀 mpaka namuonea huruma Ubaya mwenzake Xi hayupo kwenye mitandao ya kijamii hivyo ni ngumu kujua hata anajali...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Kiongozi wa Upinzani nchini Seychelles (Ushelisheli), Patrick Herminie ameshinda kiti cha Urais kwa kupata 52.7% ya Kura zilizopigwa dhidi ya 47.3% za Rais Wavel Ramkalawan ikiwa ni baada ya...
1 Reactions
3 Replies
244 Views
Huko Gaza, "raia" wale wa Wanajihadi wa Nazi waliosherehekea mauaji ya tarehe 7 Oktoba sasa wanasherehekea usitishaji vita unaokuja kwa sababu wanaona huu kama ushindi mkubwa. "Njaa" hiyo yote...
1 Reactions
3 Replies
233 Views
Wanaukumbi. CAIRO - 8 Oktoba 2025: Rais wa Marekani Donald Trump alisema Jumatano kwamba 'anajivunia sana kutangaza kwamba Israel na Hamas zote zimetia saini Awamu ya kwanza ya Mpango wa Amani wa...
2 Reactions
18 Replies
800 Views
RFK Jr adai vijana wanaotahiriwa hasa wakiwa wadogo wengi wanakuwa katika hatari ya kupata usonji.
2 Reactions
19 Replies
683 Views
Miss Zomboko na beth ndio waliokuwa vinara kwenye hili jukwaa la kimataifa. Wamepote kwa muda sasa siwaoni? Mpo? Nawasalimu.
2 Reactions
5 Replies
221 Views
Mfalme Daudi ni moja ya watu mashuhuri katika Biblia, na vita alivyopigana vinaelezewa hasa katika vitabu vya 1 Samweli, 2 Samweli, na Zaburi. Hapa ni baadhi ya vita muhimu alivyopigana kwa mujibu...
15 Reactions
94 Replies
4K Views
Maelfu ya watu wamekusanyika katika jiji la Maroua, kaskazini mwa Cameroon, kumuunga mkono mgombea wa upinzani Issa Tchiroma Bakary, siku chache kabla ya uchaguzi wa urais utakaofanyika Oktoba 12...
1 Reactions
2 Replies
381 Views
Spika wa bunge la Israel Knesset amemwalika rasmi rais Trump kuhutubia bunge la Knesset. "Ni heshima yangu kuu na pendeleo kubwa kualika rasmi rafiki mkubwa na mshirika wa Wayahudi katika...
1 Reactions
1 Replies
198 Views
Majeshi ya Israel taarabu yameanza kujisogeza taaratibu ili kuweza kukalia 53% ya Gaza na kuwaachia 47% magaidi wa Hamas
3 Reactions
12 Replies
418 Views
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ametoa uamuzi wa kushangaza kwa kumteua tena Sébastien Lecornu kuwa Waziri Mkuu wa Ufaransa, hatua iliyozua maoni tofauti kutoka kwa wananchi na wanasiasa wa...
1 Reactions
5 Replies
434 Views
Haya mapicha yanasikitisha, hapa kuna link kwa yeyote mwenye uwezo wa kutoa misaada abofye akasaidie, hali ni mbaya, hadi nimekosa hata hamu ya kula...
1 Reactions
6 Replies
396 Views
Mpango wa Trump wa vipengele 20 kuhusu Gaza Rais wa Marekani Donald Trump amependekeza mpango wa amani wenye vipengele 20 ili kumaliza vita vya Gaza baada ya kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa...
2 Reactions
2 Replies
260 Views
Hasa kizazi cha miaka.ya 70 na 80s ambao wengi wazazi wenu walizaliwa miaka ya 60 mwanzoni hadi kati kati, 50 na 40. Wazazi wenu walikuwa wana waambia. 1. Acheni kuvuta bangi na sigara ninyi...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Oktoba 7, 2023 ndipo Hamas walivamia watu waliokuwa kwenye starehe na kuwafanya mateka. Nini kiliendelea? Viongozi Muhimu wa Kisiasa na Kijeshi Waliouawa Baada ya Operesheni Mafuriko ya...
3 Reactions
34 Replies
1K Views
Mwanaharakati wa upinzani wa Venezuela María Corina Machado ameshinda Tuzo ya Amani ya Nobel 2025 kwa ujasiri wa kupigania demokrasia na uchaguzi huru licha ya vitisho. Kamati ya Nobel imemsifu...
2 Reactions
4 Replies
343 Views
Nimeidhinisha awamu ya kwanza ya mpango, mateka wetu wote wataletwa nyumbani. Haya ni mafanikio ya kidiplomasia na ushindi wa kitaifa na kimaadili kwa Taifa la Israeli. Tangu mwanzo, niliweka...
3 Reactions
27 Replies
770 Views
Waziri Mkuu Netanyahu anasema Israel iko katika hatua nzuri ya kufikia malengo yake, haswa kuwarudisha mateka wote. Anamshukuru Rais Trump, Jared Kushner, na Steve Witkoff kwa jukumu lao muhimu...
0 Reactions
0 Replies
176 Views
Back
Top Bottom