Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,479
- 40,852
Makanisa huko Ulaya ambako ndio watu wa mwanzo kupokea ukristo na baadae waliowatuma wamissionari kuja kuwalaghai Waafrica na kuwaingiza kwenye Imani yao ambayo Sasa wameanza kuwapeleka Sodoma na Gomora kwa ajenda kupunguza idadi ya watu duniani.
Wanashawishi ndoa ya jinsia Moja kati wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake jambo ambalo ni kinyume na Mila na desturi za Africa..waumini mlio kwenye hatari mjitafakari na kulinda kabla vizazi havijahariba