International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Mshirikishe mwenzako Raiya wa Uingereza waliouawa Thailand Polisi nchini Thailand wameimarisha hatua za uchunguzi wa DNA kwenye kisiwa cha Koh Tao ili kubainisha waliohusika katika mauaji ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kumekuwapo mfululizo wa maafa yatokanayo na mafuriko yanayosababishwa na mvua huko Thailand. Itakumbukwa kwamba waziri mkuu aliyejiuzulu, EL aliwahi kuwaleta wataalamu kutoka Thailand ili waweze...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Afisa wa cheo cha juu serikalini ameiambia BBC kwamba wasichana 21 waliokuwa miongoni mwa wasichana wa shule waliotekwa na wapiganaji wa Boko Haram eneo la Chibok sasa wako huru. Taarifa zinasema...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Ni Mwanafunzi mmoja pekee nchini Liberia kati ya wanafunzi 42,000 waliofanya mtihani wa kila mwaka wa eneo la Afrika Magharibi aliyepita mtihani huo ili kujiunga na chuo kikuu Armstrong Gbessagee...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Ofisi moja ya chama cha Republican katika jimbo la North Carolina imeharibiwa na moto huku jengo lililo karibu yake likipakwa rangi ya nembo inayopinga chama cha Republican,mamlaka imesema...
0 Reactions
1 Replies
795 Views
Baada ya kufuatilia kwa karibu pilika pilika za uchaguzi wa rais nchini Marekani in kwamba; CNN inakidhi vigezo vyote vya kurefushwa na kuitwa CLINTON NEWS NETWORK (CNN). Hii ni kwa jinsi wanavyo...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Rim Taher,AFP 5 hours ago Tripoli (AFP) - Five years after an uprising killed Libya's Moamer Kadhafi, residents in the chaos-wracked country's capital joke they have grown to miss the longtime...
0 Reactions
1 Replies
402 Views
Cracker Barrel Attack: Tasha Hill Beaten In Front Of Daughter, Called Racial Slurs The Huffington Post First Posted: 09-16-09 03:55 PM | Updated: 09-16-09 05:10 PM Read more at...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nikutokana na kuawa kwa kamada wa sehemu inayotaka uhuru ya Ukraine Mashariki. Ni kamanda "Motorola " aliuwawa Kwa bomu la kutegwa Tazama tishio lilitangazwa na watu wa Donobass (east Ukraine )...
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Hivi hii Haiti why kuna umasikini kuliko hata wa Africa? shida ni nini hasa? Kuna watu wanasema uongozi mbovu but mbona nchi nyingi tu eneo hilo uongozi mbovu pia? why Haiti ni kama...
10 Reactions
73 Replies
7K Views
13 October 2016 Image copyrightAFP Image captionThomas Sankara had a confrontational relationship with then-French President Francois Mitterand Burkina Faso has asked France to declassify...
0 Reactions
0 Replies
390 Views
ISIS huko Iraq iliwekwa na US yenyewe eti sasa inajifanya kuisaidia Iraq kupigana nayo kutwaa mji wa Mosul,what a conspiracy this country is!! Kama wanataka kusaidia iraq ilikuwa ni kitendo cha...
0 Reactions
3 Replies
854 Views
  • Redirect
Na Marekani kura huibiwa kwenye vituo.... Adai Trump THE WARRIOR : Na Marekani kura huibiwa kwenye vituo.... Adai Trump
0 Reactions
Replies
Views
Wachimbaji madini Mynmar wakutana na dini aina ya Jade lenye urefu wa futi 9 na uzito wa tani 175. Dini hilo linakadiriwa kuwa na thamani ya paundi milioni 140. Mynmar ndio nchi inayoongoza kwa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Takribani watu 30 wamefariki dunia leo katika ajali iliyohusisha magari mawili yaliyogongana uso kwa uso nchini Pakistan Aidha watu 69 wamejeruhiwa katika ajali hiyo wengi wao ni wanawake na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Uchaguzi wa marekani umefikia patamu ambako yule mbaguzi, asio waheshimu watu Donald trump anakashfa ya kuwaingilia kimapenzi wanawake wawili kwa lazima. Hii huenda ikamuangusha Trump na ikawa ndo...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
The $35 million estate belonging to Teodoro Nguema Obiang, the agriculture minister of Equatorial Guinea and the son of its ruler, in Malibu, Calif., in the lower center of the frame. Taint of...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Akiongea katika mkutano wa kampeni zake zinazoendelea nchini marekani Mgombea wa Republican bwana Donald Trump amesema ana wasiwasi na mwonekano wa mgombea mwenzake wa Urais kupitia chama cha...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Mgombea Urais kwa tiketi ya chama cha Democrat, Hillary Clinton anaongoza katika kura za maoni mpya kwa mujibu kituo cha runinga cha NBC News. Anaongoza kwa asilimia kumi moja zikiwa zimebaki...
0 Reactions
4 Replies
906 Views
Baada ya Mfalme wa Thailand kufariki Dunia mtoto Mfalme ajulikanye kama Maha ndiye anayetarajiwa kumrithi Baba yake, pichani ni Mfalme mtarajiwa wa Thailand! Mtoto wa Mfalme akisubiriwa kushuka...
6 Reactions
42 Replies
10K Views
Back
Top Bottom