International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

NI MIAKA miwili sasa tangu baba mzazi wa Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Etienne Tshisekedi wa Mulumba afariki dunia huko Brussels, Ubelgiji lakini mpaka sasa mwili wake...
4 Reactions
8 Replies
7K Views
Watu 22 waliokuwa wametekwa juma lililopita nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika uvamizi uliofanywa na kundi la Islamic State, wameachiwa huru na watekaji wao. Kwa mujibu wa kiongozi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mfalme Maha Vajiralongkorn mwenye umri wa miaka 66 amemuoa Suthida mwenye umri wa miaka 40 Suthida ambaye kwa sasa ndiye malkia wa Taifa hilo aliwahi kuwa Mhudumu wa ndege kwenye shirika la Thai...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Ni kulinda maslahi na mali za matajiri, wakoloni, na ndiyo maana asilimia kubwa ni waafika na nchi chache za asia.
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Marekani: Mashinikizo dhidi ya Iran yataendelea hadi Tehran ikubali mazungumzo Mei 30, 2019 07:59 UTC Msemaji wa Wizara ya Mashaurii ya Kigeni ya Marekani jana alisisitiza kuwa Washington...
2 Reactions
1 Replies
848 Views
Israel inalazimika kufanya uchaguzi mwingine mpya mnamo mwezi Septemba mwaka huu, baada ya wabunge kupitisha hoja ya kulivunja bunge kufuatia Waziri mkuu Benjamin Netanyahu kushindwa kuunda...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Sanamu hiyo ni ya Mwanasiasa mkongwe wa upinzani, Etienne Tshisekedi aliyefariki dunia mwaka 2017 na mwili wake bado haujazikwa Felix Tshisekedi ambaye ni Mtoto wake ndiye Rais wa sasa wa Jamhuri...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Wabunge kwa kauli moja kupitia mchakato wa kupiga kura wamekataa ombi la Waziri Mkuu, Volodymyr Groyman kujiuzulu Wamesema endapo Waziri Mkuu huyo atajiuzulu hatua hiyo inaweza kuzua machafuko na...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Amechagua mtindo wa kimono kwa gauni lake ambayo ndiyo nguo ya aslili kwa watu wa Japan.
6 Reactions
16 Replies
2K Views
AFRICANS ARE NOT HUMANS President of the United States of America, Donald Trump has hit hard at Africans once again, this time asking whether they are really qualified to be called humans. He...
30 Reactions
84 Replies
7K Views
Majambazi wamenyofoa na kutokomea na mashine ya kielektroniki ya kutolea pesa nchini Ireland ya Kaskazini. Majambazi hao walitumia tingatinga ambalo pia waliliiba katika kunyofoa ATM hiyo kutoka...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
She is now expected to announce her departure date at any time. Following a back slash from her own members of parliament towards her pledge on “new deal Brexit”. 10th June 2019 Conservative...
22 Reactions
130 Replies
16K Views
Mabalozi Saba kutoka Tanzania, Marekani Ufaransa, Urusi , Burundi, Afrika Kusini na Uingereza wamewasili katika wilaya ya Rukiga magraribi mwa Uganda kushuhudia utaratibu wa kuikabidhi Rwanda...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Iran yafanya juhudi za kuziokoa Saudia na Imarati mbele ya vitimbi vya Donald Trump Mei 28, 2019 14:35 UTC Iran imetoa pendekezo la kutiwa saini mkataba wa kuzuia uvamizi wa nchi nyingine katika...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
http://www.freespeechfront.net/2018/12/palestinian-leader-threatens-trump-if.html
0 Reactions
72 Replies
6K Views
Waziri Mkuu wa Papua New Guinea, Peter O’Neill amejiuzulu baada ya wiki kadhaa za kutofautiana na chama tawala. Katika mkutano na waandishi wa habari, O’Neill amesema mabadiliko ya kisiasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
"A Hindu veterinary doctor in south-east Pakistan has been charged under the country's strict blasphemy laws after allegedly selling medicine wrapped in paper bearing Islamic religious text. An...
0 Reactions
1 Replies
901 Views
An Israeli airstrike on a Syrian anti-aircraft position near the Golan Heights Monday killed one soldier and wounded three, Syria said. Israel called the rocket strike on Tal al-Shaar retaliation...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Watu wawili miongoni mwao akiwa mwanafunzi msichana, wameuawa kwa kudungwa kisu na mshambuliaji aliyewajeruhi watu wengine 17 nchini Japan jana Mshambuliaji huyo aliwalenga wanafunzi wa shule...
0 Reactions
0 Replies
949 Views
Trump: Nipo tayari kuingia katika mazungumzo na Iran kwa upatanishi wa Japan Mei 27, 2019 13:44 UTC Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa yupo tayari kuingia katika mazungumzo na Jamhuri ya...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom