Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,092
- 34,903
Mshirikishe mwenzako
Raiya wa Uingereza waliouawa Thailand
Polisi nchini Thailand wameimarisha hatua za uchunguzi wa DNA kwenye kisiwa cha Koh Tao ili kubainisha waliohusika katika mauaji ya watalii wawili wa Uingereza wiki mbili iliyopita.
Polisi huko Thailand wanapanua kupima kwa damu katika kisiwa cha koh Tao kujaribu kuangaliwa nani aliyeua waingereza wawili wiki mbili zilizopita.
Polisi mmjo mmoja anayeshughulikia uchunguzi huo alisema watajaribu kupima watu wote wakiwemo wavuvi na waendesha boti ambao huenda walizuru kisiwa hicho wakati wa mauaji.
Sampuli za DNA zilizochukuliwa kutoka kwa maiti za Hannah Wiotherdge na David Miller zinaonyesha huenda waliotekeleza mauaji hayo ni watu wenye asili ya Kisia.
Aliyeshughulika na uchunguzi alisema watachunguza kila mtu ambaye anayeishi katika kisiwa hicho pamoja na wavuvi na wanaoendesha meli ambazo waliziara hiyo kisiwa wakati wa mauaji .
Sampuli za damu zilizoshukuliwa kutoka kwa mili ya Hannnah Witherdge na David Miller zinaonyesha kuwa wahalifu walikuwa asili ya kiasia.
Chanzo:BBC