sindano butu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2012
- 525
- 184
Uchaguzi wa marekani umefikia patamu ambako yule mbaguzi, asio waheshimu watu Donald trump anakashfa ya kuwaingilia kimapenzi wanawake wawili kwa lazima. Hii huenda ikamuangusha Trump na ikawa ndo mwisho wake. Jahazi la donald trump linazama na huenda akapotea,kabisa kisiasa.