ISIS huko Iraq iliwekwa na US yenyewe eti sasa inajifanya kuisaidia Iraq kupigana nayo kutwaa mji wa Mosul,what a conspiracy this country is!!
Kama wanataka kusaidia iraq ilikuwa ni kitendo cha kuita Mageneral wa ISI huko na kuwaambia watoke only that maana wao ndio wamewaweka huko na wanawapa kila kitu km silaha,technology na rasilimali fedha.Hiki ndicho kinaniudhi juu ya nchi hii.
Karibuni wadau tuchangie mawazo juu ya unafiki wa nchi hiii inayojiita YA KIDEMOKRASIA...