Trump: Hillary Clinton anatumia madawa ya kulevya

Trump: Hillary Clinton anatumia madawa ya kulevya

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,653
Reaction score
58,533
Akiongea katika mkutano wa kampeni zake zinazoendelea nchini marekani Mgombea wa Republican bwana Donald Trump amesema ana wasiwasi na mwonekano wa mgombea mwenzake wa Urais kupitia chama cha Democratic mama Clinton kuwa anatumia madawa ya kulevya hasa kwenye debate iliyopita alionekana kama mlevi na macho ya tofauti na Siku zote.

Na kuongeza uenda atakuwa anatumia madawa ya kulevya na alitumia kabla ya debate ile ya jumapili iliyopita.

Vila vile amavishutumu vyombo vya habari kwa kumbeba na kutoripoti maovu yake anayoyafanya mpinzani wake.

Chanzo: CNN

My take: Jamaa maneno hayaishi tu kila Siku anakuja na jipya kama kawaida wacha tuone debate ya jumatano atafanya nini za ziada.
 
Trump bado anamnganga nia tu huyu mama ingawa amezidiwa kwa point 4 ila akiongeza jitihada atamwacha nyuma huyu mama,
 
mzimieni
microphone.png
 
Yes, she is using "Performance Enhancing Drugs". Ndio maana mwanzoni mwa discussion anakuwa very active lakini kadiri muda unavyokwenda ana deteriorate.
 
Yes, she is using "Performance Enhancing Drugs". Ndio maana mwanzoni mwa discussion anakuwa very active lakini kadiri muda unavyokwenda ana deteriorate.
I think u can get an evidence?
 
Yani clinton akiichukua marekani itakuwa ni sbabu ya makosa ya trump
 
Inawezekana kwani yeye nani yale ukiwa na pesa hayakuendeshi
 
Yani clinton akiichukua marekani itakuwa ni sbabu ya makosa ya trump

Mi nafikiri Wamerikani watumie busara sana katika uchaguzi wa mwaka huu - wasipo mchagua Trump basi Amerika ijitayarishe kwa matukio ya kutisha popote Duniani yatayo sababishwa na mahamuzi hatarisi ya Hillary - sitashangaa kama term yake ya kwanza itakumbwa na WW3, Hillary ni bellicose mno labda mumewe amu-contain.
 
GOP haina mgombea.....Demo wataongoza kwa miaka 16
8 Obama 8 Hilary
 
Back
Top Bottom