International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kauli ya Pompeo, asema atafanya safari nchini Iran Jul 26, 2019 12:54 UTC Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo amedai kwamba atafanya safari mjini Tehran ili kuifikishia Iran ujumbe wa...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Mzazi mmoja nchini India amekamatwa na polisi kwa kosa la kumkata mwanaye wa kiume sehemu za siri kwa imani ya kuondoa mikosi kwenye familia yake. Mtuhumiwa wa mauaji, Ram Gopal Patel katikati...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Israeli missiles targeted “military positions and intelligence facilities belonging to Iran and [pro-Iranian] militias” in the southern provinces of Daraa and Quneitra early on Wednesday...
0 Reactions
67 Replies
7K Views
Matetemeko hayo yametokea mapema leo katika kisiwa cha Luzon ambapo takribani watu 60 wamejeruhiwa huku majengo yakiharibiwa vibaya Zaidi ya watu 1,000 wakazi wa kisiwa cha Itbayat wameshauriwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza: Nipo tayari kufanya mazungumzo na Iran Jul 25, 2019 10:59 UTC Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza amesema kuwa yupo tayari kufanya mazungumzo na Iran...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Happy 172nd Independence to all Liberians. May this Independence renew our vigor towards Nation building & shared prosperity for all. May Unity be our footpath & Peace our emblem. As we look to...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Serikali ya Marekani imeidhinisha adhabu ya kifo ianze tena kutekelezwa baada ya adhabu hiyo kusitishwa miaka 16 iliyopita, yasema Idara ya Mahakama. Katika taarifa mwanasheria mkuu William Barr...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Marekani yatuma wanajeshi 500 na silaha nzito za kivita nchini Saudi Arabia, Muda wowote Iran inashambuliwa Marekani imetuma wanajeshi wapatao 500 na silaha nzito za kivita kwenda nchini Saudi...
9 Reactions
128 Replies
14K Views
Nimekuwa nikisoma na kusikia kivipi mataifa makubwa kiuchumi Kama China(under Mao the don), uingereza( mapinduzi ya viwanda) yalivoweza kutoka from zero to hero kwa kuonesha struggle walizozipitia...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa mda mfupi ambao trump amekaa madarakani na kwa utendaji bora amefuta kabisa legacy ya Obama. Obama hana cha kukumbukwa zaidi ya kuhamasisha ushoga duniani.je Obama anakumbukwa kwa lipi...
8 Reactions
35 Replies
7K Views
Wanafunzi watatu wa shule ya upili ya wasichana ya Makueni wanazuiliwa katika kituo cha polisi cha Makueni kwa jaribio la kumuua mwenzao kwa kumwekea sumu kwenye chakula Watatu hao walio na umri...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Katika hali isiyoyakutegemewa ndge za washirika wa Marekani hasa Islael zimejikuta zikiwa aziwezi kufanya kazi baada yamfumo wake kushindwa kufanya kazi (GPS) kutokana na mifumo ya kirusi iliyopo...
5 Reactions
52 Replies
8K Views
Waheshimiwa. Marekani ilijitangazia uhuru wake hapo Philadelphia, Pennsylvania, mwezi July 4, 1776. Uhuru huu ulitokana na vita vya makoloni kumi na tatu ambavyo vilikuwa dhidi ya Ufalme wa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
At least 150 people have drowned after their boat sank off the Libyan coast Thursday, the UN Refugee Agency (UNHCR) confirmed. Around 300 people are believed to have embarked on the dangerous sea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Urusi inasema kuwa imetekeleza doria yake ya kwanza ya pamoja na China , hatua iliyozifanya Korea Kusini na Japan kutuma ndege za kivita angani. Waziri wa ulinzi nchini Urusi amesema kuwa ndege...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Ukraine seizes Russian Tanker, frees Crew after Moscow Threat Ukraine on Thursday (Today) seized a Russian tanker for its alleged involvement in the capture of three Ukrainian navy vessels by...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Rais wa kwanza kuchaguliwa kidemokrasia wa Tunisia Bejji Caid Essebsi amefariki na nafasi yake imechukuliwa na Spika wa Bunge la Tunisia Mohammed Ennaceur kama Rais wa mpito (interim president). ...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mayahudi wa Ethiopia waliorubuniwa kwenda Israel wapiga "takbir" waendelea kulalamikia unyanyasaji Jul 06, 2019 10:58 UTC Mayahudi wa Ethiopia maarufu kwa jina la Mafalasha, waliorubiniwa kwenda...
3 Reactions
126 Replies
13K Views
Back
Top Bottom