International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Idadi ya watu waliokufa kutokana na ajali ya treni nchini Cameroon imeongezeka kutoka watu 55 na kufikia watu 70 na wengine 300 wanapatiwa tiba kutokana na majeraha ya ajali hiyo ambayo ilitokana...
0 Reactions
0 Replies
594 Views
Kwa muda wa miaka mingi nimekuwa nikifatilia chaguzi mbali mbali za Marekani lakini kuna kitu kimoja ambacho nimekuja kukifahamu hawa jamaa pamoja wanatulazimisha sisi nchi za dunia ya tatu tuwe...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
October 19, 2016 at 11:25 pm By Dan Ngabonziza King Mohammed VI (l) and President Paul Kagame A Moroccan real estate company has announced it will construct 5000 affordable housing units in...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau mimi kwa maoni yangu binafsi hii tuzo la Nobel Prize huwa linatolewa kinafiki sana. Maana halisi ya nia ya mwasisi wa tunzo hili Alfred Nobel mwaka 1901 ilikuwa ni kutoa tunzo hili kwa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Afrika Kusini imeanzisha mchakato wa kujiondoa kutoka uanachama wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita. Wanadiplomasia wa Afrika kusini wamearifu umoja wa mataifa juu ya uamuzi huo na...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Shirika la Ndege la Emirates lasema kuanzia Oktoba 30 litasitisha safari zake kati ya Dubai na Abuja kutokana na kuyumba uchumi wa Nigeria. ========= Emirates Airline kuahirisha mara nne...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Trump amesema kupitia debate ya Jana alipoulizwa swali na moderator kuwa je atakubali matokeo ya uchaguzi endapo atashindwa? Amesema siwezi kukubali sasa nitakubali badae siwezi kuongea kwa...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Historia ya kale Ya Rwanda Wakazi wa kwanza huaminiwa kuwa wawindaji wa jamii ya Wasani. Katika karne za kwanza BK walifika wahamiaji Wabantu wenye ujuzi wa kilimo na uhunzi. Rwanda ilikuwa eneo...
2 Reactions
11 Replies
5K Views
Baada ya kuaga Dunia nzima kuanzia kuanzia, Mexiko, Brazili, Ulaya yote, Australia mpaka Asia yote, ni Afrika tu, tu ndiyo bado Raisi Obama hajakanyaga kuja kuaga, ingawaje sisi ndiyo tuliofurahia...
1 Reactions
1 Replies
763 Views
Yule kaka wa Obama ajulikanye kama Maliki Obama amesema kwamba ana wasi wasi hata kama Raisi wa USA Barack Obama ni ndugu yake, ana ana wasi wasi kama ni mtoto wa baba yake!
1 Reactions
0 Replies
779 Views
Kanali Muommar Gadhafi miaka 68- alipata madaraka katika mapinduzi yasiyo ya kumwaga damu mwaka 1969- alimpindua aliyekuwa mfalme wa Libya wakati huo Mfalme Idris. Watoto wa Gadhafi 1...
2 Reactions
20 Replies
7K Views
Taasisi ya mambo ya anga barani ulaya imetangaza rasmi kupotea kwa kifaa kilichokuwa kikielekea sayari ya Mihiri(Mars), kilitakiwa kutua siku ya Jumatano. Taasisi hiyo imesema kifaa hicho...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Raisi Obama ni kiongozi wa taifa kubwa na lenye nguvu sana hapa duniani. Kwenye masuala ya Ulinzi ndiyo usiseme kabisa. Wako mbele zaidi ya nchi nyingi hapa duniani kwenye masuala ya TEHAMA, miaka...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Ubalozi wa Equador nchini Uingereza umekatiwa Mawasiliano ya Internet, kwa sababu Assange alianza kutoa email za mgombea urais wa Marekani Hilary Clinton, hizo emails zingemvurugia huyu mama...
8 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakuu nauangalia uchaguzi wa mwaka huu unanipa mashaka sana juu ya matamshi ya mgombea urais kutoka republican bwana Donald Trump kama kweli ni mgombea anayetaka kushinda urais kupitia wapiga kura...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mahakama ya katiba ya Congo yakubali maombi ya Tume ya Uchaguzi kuahirisha uchaguzi uliopangwa kufanyika mwezi Novemba hadi April mwaka 2018. Kwa hatua hiyo huenda rais Joseph Kabila akaendelea...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
TOKYO – A powerful earthquake with a preliminary magnitude of 6.6 shakes western Japan, but there is no danger of a tsunami being caused. The Meteorological Agency said the earthquake occurred...
0 Reactions
0 Replies
383 Views
  • Redirect
Mgombea wa urais kupitia tiketi ya chama cha Republican Donald Trump amesema kuwa atakubali matokeo ya uchaguzi wa urais nchini Marekani ''iwapo atashinda'' . Amesema kuwa atakubali matokeo ya...
0 Reactions
Replies
Views
Libya's ex-leader Colonel Muammar Gaddafi is missed by residents in the capital Tripoli. Five years after Gaddafi was lynched by a mob with the help of of NATO air-strike, the people of Libya...
2 Reactions
5 Replies
973 Views
Katika kutathmini viwango vya elimu duniani, wengi wamekuwa wakiangazia sana ubora wa vyuo. Lakini kwa jumla, ni mataifa gani yenye wanafunzi walio bora zaidi? Jambo la kushangaza ni kwamba...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom