Rais wa Tunisia afariki dunia

Statarea

JF-Expert Member
Dec 11, 2018
891
1,277
Rais wa kwanza kuchaguliwa kidemokrasia wa Tunisia Bejji Caid Essebsi amefariki na nafasi yake imechukuliwa na Spika wa Bunge la Tunisia Mohammed Ennaceur kama Rais wa mpito (interim president).
.
Essebsi amefariki akiwa na miaka 92
 
Back
Top Bottom