The seer
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 407
- 690
Kwa mda mfupi ambao trump amekaa madarakani na kwa utendaji bora amefuta kabisa legacy ya Obama.
Obama hana cha kukumbukwa zaidi ya kuhamasisha ushoga duniani.je Obama anakumbukwa kwa lipi marekani.afrika na Kenya kwenye asili yake
1.Obama alihamasisha ushoga duniani
2.alivamia Libya.
3.alianzisha kundi LA ugaidi LA ISS.lililosumbua SANA
4.alianzisha machafuko ya Syria.
Trump ni rais aliyefanya mambo makubwa kwa mda mfupi.
1.amefanikiwa kukuza Uchumi wa marekani GDP kwa mda mfupi
2.amepunguza tatizo LA ajira kwa watu weusi wa marekani
3.ametokomeza kundi LA kigaidi LA Islamic state.
4.amefanikiwa kupunguza tishio LA kiusalama dhidi ya NoRTH Korea.
5.anapinga kwa nguvu zote matendo ya kishetani ya ushoga.utoaji mimba na .n.k
6 ni rahisi mkweli muwazi.asiye ogopa.
7.Ni rais ambaye amepata upinzani mkubwa kutoka kwa vyombo vya habari lakini amefanikiwa kuwashinda kupitia Twitter.
8.wamemtengenezea kashfa kibao zote wameshindwa kuthibitisha.
9.amekuwa tishio kwaMitandao ya kishetani ya freemason n.k ambayo inaratibu new world order.
10.pia anatekeleza aliyo ahidi kama vile Uchumi.ajira.kujenga ukuta.n.k na sio mnafiki.
11.ameanzisha vita ya kibiashara na mataifa mbalimbali.miaka mingi marekani imekuwa na deficit kwenye biashara ya kimataifa.hii vita imeanza kuleta matunda kwa marekani.
N.B Trump anapingwa sana na makundi mbalimbali na baadhi ya vyombo vya habari fake news media kama CNN skynews.ABC news.SABABU KUU TRUMP YUPO KINYUME NA NEW WORLD ORDER.HAYA MAKUNDI MIAKA MINGI YAMEKUWA YAKIRATIBU KWA SIRI KUBWA NEW WORLD ORDER Kupitia vyombo vya habari Hollywood na watu mashuhuri.NA TRUMP ANABOMOA KABISA MPANGO WA NEW WORLD ORDER.
MWISHO TRUMP ANGEKUWA KIONGOZI MBAYA ASINGEMALIZA HATA MIEZI MIWILI ANGENG'OLEWA KWA MAANDAMANO MAKUBWA SANA.Media hasa fake news mediavzikiongozwa na CNN zimekuwa zikipotosha( Brainwash) watu kuhusu trump kwa kuriport negative kuhusu trump.lakini amezishinda kupitia twitter.