Israel Yashambulia Kwa Makombora Vituo Vya Kijeshi Na Kijasusi Vya Iran Nchini Syria

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
9,554
12,674
Israeli missiles targeted “military positions and intelligence facilities belonging to Iran and [pro-Iranian] militias” in the southern provinces of Daraa and Quneitra early on Wednesday

Iran makomandoo wake wanavamia meli za mafuta ambazo ni za raia kwa mbwembwe,huku akibwabwaja.Wakati kambi zake za kijeshi zikipigwa kila siku na Israel!
Asa haina maana anaharibu kambi na miundombinu ili Iran iondoke Syria.
Lakin still hafanikiwi.Angekuwa anataka aiondoe Iran syria basi angeenda kupiga bomb Tehran.
Kuharibu tu miundombinu ilhali inarejesheka tena pale Syria hakumuumizi Iran bali Israeli anajichosha tu.
Kama mbabe angeenda kupiga Tehran pale kama anavyowapiga Hamas directly ila hawez hilo anaelewa athari itakayomkuta anaishia Kuharibu majengo tuu.
 
@RTI,huwezi kuzikuta kwenye media kwani ni kitukio kidogo ambacho israel walirusha makombora ya spike,ya kuharibia vifaru ama wanaita Anti tamk kujaribu kuharibu observation post pale mpakani na syria,wao syria wakajibu kwa kufyatua Artilley kuelekea ndani ya israel,tukio likaishia hapo,ni yale mashambulizi ya kujaribu kuchokonoa
 
Duh kwahyo syria kamwelekezea muisrael directly ??
Mbona wanasema mashambuliz hayakujibiwa?
 
Asa haina maana anaharibu kambi na miundombinu ili Iran iondoke Syria.
Lakin still hafanikiwi.Angekuwa anataka aiondoe Iran syria basi angeenda kupiga bomb Tehran.
Kuharibu tu miundombinu ilhali inarejesheka tena pale Syria hakumuumizi Iran bali Israeli anajichosha tu.
Kama mbabe angeenda kupiga Tehran pale kama anavyowapiga Hamas directly ila hawez hilo anaelewa athari itakayomkuta anaishia Kuharibu majengo tuu.
Iran hajashambulia Israel akitokea Tehran.Iran anataka kushambulia kutokea proxies zake za Syria na ndio anaziharibu!
 
Kwanini washambilia Iran. Kwani Iran wameshambulia Israel kutokea Iran? Israel wanashambulia toka upande wanaoweza kushambuliwa!
Mkuu unajivuruga.
Hamas wa Palestines hawakuwahi tupa bomb Israel lakin Israel anaishambulia Hamas directly from Tel aviv.
Kwanini naye Israel asiishambulie Iran km anavyofanya kwa Hamas??
 
Back
Top Bottom