International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

  • Redirect
Kweli kuishi kwingi ni kuona mengi wana jamvi. Jana kufuatia ushindi usiotabirika wa mgombea wa chama cha Republican Donald Trump tumeshudia unafiki uliopitiliza wa viongozi wa Kiafrika. Eti kuna...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Dunia inaelekea sehemu sahihi... Watu wamechoka vitu feki wanataka vitu au watu halisi wasioigiza maisha na maamuzi.... Kwa matukio yanayotokea yanaonyesha hayo, kuanzia level za uongozi mpaka...
1 Reactions
Replies
Views
Johannesburg, Africa Kusini Hisia kali zimetolewa mitandaoni baada ya mwanamume mzungu kuonekana akimwingiza mwanamume mweusi kwenye jeneza kwa lazima huku akitishia kumchoma akiwa hai Video...
2 Reactions
67 Replies
7K Views
  • Redirect
Wakuu wa nchi, Hivi ni ukweli huyu jamaa aliyeshinda atawatimua wahamiaji haramu, maana nina ndugu zangu wanaishi USA bila yale makaratasi, yaani sina hamu wakuu wa nchi. Au atabadilisha mawazo...
0 Reactions
Replies
Views
Masoko ya hisa duniani yameanza kulegalega na yale ya Marekani yakielekea kwenye anguko kubwa kutokana na matokeo ya Urais wa nchi hiyo yanayoendelea kutoka, kuwashangaza wawekezaji duniani...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
  • Redirect
Ndgu wanabodi, kila mtu na mali zake, haijalishi amezipataje, kule italy miaka ya hivi punde walikuwa wanamchagua Billionare Silvio Berlluscon, na amekuwa waziri mkuu kwa zaidi ya mara 4...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Hivi ndivyo ambavyo 'Nabii' huyu amejitetea kwenye facebook page ya "ministry" yake Inaonekana bado kuna "misukule" ambayo inamuamini huyu jamaa pamoja na a grave mistake ya unabii wake juu ya...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
IMENUKULIWA HADITHI KUTOKA KATIKA KITABU CHA SAHIIH BUKHARI..Nimesahau sentensi zake lakini content iko hivi."Na zitakapowafikia zama ambapo uongozi utakabidhiwa kwa watu ambao sio wajuzi, basi...
3 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Imekuwa ni kawaida ya viongozi wanaojiita wa kiroho kutoa tabiri mbalimbali na shuhuda kemkem katika jitihada za kujiongezea wafuasi (kondoo/waumini). Nakumbuka miaka ya nyuma Tanzania tulikuwa...
5 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Nadhani dunia inasema kuwa demokrasia na maisha ya kubembelezana si aina bora katika mifumo ya kiuongozi! Najua tutakubaliana kuwa nature inasema hivyo, mfano kila jamii ina aina Fulani ya figure...
3 Reactions
Replies
Views
Matokeo huko American. Raisi wa 45 wa marekani. Supporters wa Trump wakifurahia ushindi wa Trump.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mama Clinton kubali umashindwa kwa hoja! Cha ajabu hivi sasa unatoa viroja! Clinton na wafuasi wake hivi sasa wanalalama na kulia kilio cha wachawi kuwa Marekani imegawanyika kutokana na ushindi...
0 Reactions
1 Replies
589 Views
  • Redirect
Leo asubuhi bahati sijui mbaya nimejikuta nasikiliza BBC idhaa ya kiswahili baada ya mamaa kuiweka. Huwa sisikilizi sana idhaa ya kiswahili ya propaganda, huwa haifanani na ya kiingereza. Na...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
IMENUKULIWA HADITHI KUTOKA KATIKA KITABU CHA SAHIIH BUKHARI..Nimesahau sentensi zake lakini content iko hivi."Na zitakapowafikia zama ambapo uongozi utakabidhiwa kwa watu ambao sio wajuzi, basi...
0 Reactions
Replies
Views
Haya Bw. Donald J. Trump ndo rais mteule wa taifa bora kabisa duniani. Kabla ya uchaguzi 'wajuvi' wa mambo walitabiri kuwa atagaragazwa vibaya mno na bibi Hillary Clinton. Hata mi mwenyewe...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Kuna Watu nashindwa kuwaelewa kabisa humu JF halafu nadhani ni ' wageni ' kwangu kwani kuna siku moja niliandika kitu humu tena nikiwa tu katika hali ya ' mizaha ' yangu kuwa Mama Clinton...
0 Reactions
3 Replies
965 Views
  • Redirect
Hii hapa
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Yatupasa kuwa makini sana na Marekani ktk kipindi hiki kuliko chechote kilichopita tangu tupate uhuru wa nchi zetu.Marekani ina ajenda kubwa ya kushika hatamu ya uchumi wa dunia,kutawala...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kwa ubabe wa Trump nadhani anaweza kutawala Marekani kwa zaidi ya Miaka 15....
0 Reactions
Replies
Views
Imekuwa ni kawaida ya viongozi wanaojiita wa kiroho kutoa tabiri mbalimbali na shuhuda kemkem katika jitihada za kujiongezea wafuasi (kondoo/waumini). Nakumbuka miaka ya nyuma Tanzania tulikuwa...
0 Reactions
1 Replies
991 Views
Back
Top Bottom