Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 26,496
- 40,157
Waheshimiwa.
Marekani ilijitangazia uhuru wake hapo Philadelphia, Pennsylvania, mwezi July 4, 1776. Uhuru huu ulitokana na vita vya makoloni kumi na tatu ambavyo vilikuwa dhidi ya Ufalme wa Uingereza. Draft ya uhuru ilipitishwa bila kupingwa mnamo Julai 2 (siku mbili kabla) ambapo nyaraka ya uhuru iliandaliwa na kamati ya watu watani wakiongozwa na John Adams ambaye alimpa assignment Thomas Jefferson ambaye aliuandaa hatimaye ukapelekwa Bungeni na kufanyiwa marekebisho muhimu kisha ukapitishwa
Ukiangalia hayo makoloni yalikuwa ni kuhusu wavamizi na watu waliohamishwa kupelekwa maeneo hayo ambao ilionekana ni threat kwa mataifa yao hatimaye wakaunda mshikamano na kadhalika. Ukikumbuka kwamba asili ya bara ama nchi ya Marekani ya leo ni himaya ya wahindi wekundu ambao walinyang'anywa.
Nimeandika hii summary baada ya leo kujadiliana kidogo na mwanangu wa darasa la nne ambaye ktk kusoma kwake vitabu ameniambia Marekani ndiyo nchi pekee duniani ambayo haijapata uhuru wake. Sababu anayosimamia ni kwamba eneo lile ni la wahindi wenkundu ambao ndiyo asili ya America. Je uhuru huo walioutangaza uliwahusu akina nani basi? Ina maana inawezekana Uhuru wa Marekani ulitangaza uadui baina ya wenyeji wa asili na wageni ambao leo wamejipa uasili wa Marekani huku wakiacha historia ya kutisha dhidi ya wenyeji Wahindi Wekundu wa eneo lile.
Hebu tuujadili huu uhuru wa aina yakeambao leo umetengeneza so called Democracy regime systems inayotawala dunia huku ikiacha doa baya na taswira hasi dhidi ya ustaarabu wa kila nchi kujitawala na kujiamulia mambo yake.
Nakaribisha mjadala kwa lengo la kuelimishana maana nothing we can do about this history.