Liberia Imefikisha Miaka 172 Ya Uhuru Leo Hii!

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
10,258
Reaction score
14,106
Happy 172nd Independence to all Liberians. May this Independence renew our vigor towards Nation building & shared prosperity for all. May Unity be our footpath & Peace our emblem. As we look to the future, let patriotism be our hallmark as we work collectively towards building a prosperous Liberia for all.
FB_IMG_1564146115218.jpg
 
Africa nani kawalaani?
Nawaambieni, Magufuli atawaachia mavitu na madeni Mkubwa sana na pia umasikini usioelezeka
Nani kakwambia nia ya Magundu ni kuutokomeza umasikini?
Malengo ya Magundu ni haya yafuatayo:-
1. Kubwa kabisa, ni kumfunika Nyerere, aonekane kwa miaka yote 24 aliyokaa ikulu hakufanya kitu.
2. Kuifanya Chato iwe zaidi ya Dar es Salaam na Dodoma. (Metropolitan)
3. Kulifanya kabila la wasukuma kuwa kabila baba, biashara zote na njia zote kuu za uchumi zitawaliwe na wasukuma.
4. Kuhakikisha Wachagga wanapotezwa kabisa kwenye ramani
5. Kuhakikisha matajiri wote wanafilisiwa na kupotezwa kabisa
 
CC: JIWE
 
Utamfunikaje mtu kwa kumsifia?
2. Kuifanya Chato iwe zaidi ya Dar es Salaam na Dodoma. (Metropolitan)
Ki vipi?

Kama ni hivyo basi walaumu waingereza waliojenga reli toka Tabora hadi Mwanza.
4. Kuhakikisha Wachagga wanapotezwa kabisa kwenye ramani
Reli ya Tanga ilikuwa haifanya kazi kwa miaka 12 leo imefufuliwa mpaka Moshi, unalijua hilo?
5. Kuhakikisha matajiri wote wanafilisiwa na kupotezwa kabisa
Unaongelea matajiri halali au mafisadi?
 
Unaongelea reli ipi mkuu! Isije ikawa ni ile ya "kata mi kata miti kata miti" (honi) poopiiiiiiiiiii poooooooh kata miti kata miti!
 
Labda hufuatilii, majuzi Kadogosa (Mkurugenzi wa TRC) alisema watajenga reli ya SGR mpaka Arusha, ila kwa sasa wanakarabati ile ya zamani.
 
Wewe mkuu mkabila sana.
Nani kakwambia nia ya Magundu ni kuutokomeza umasikini?
Malengo ya Magundu ni haya yafuatayo:-
1. Kubwa kabisa, ni kumfunika Nyerere, aonekane kwa miaka yote 24 aliyokaa ikulu hakufanya kitu.
2. Kuifanya Chato iwe zaidi ya Dar es Salaam na Dodoma. (Metropolitan)
3. Kulifanya kabila la wasukuma kuwa kabila baba, biashara zote na njia zote kuu za uchumi zitawaliwe na wasukuma.
4. Kuhakikisha Wachagga wanapotezwa kabisa kwenye ramani
5. Kuhakikisha matajiri wote wanafilisiwa na kupotezwa kabisa
 
Labda hufuatilii, majuzi Kadogosa (Mkurugenzi wa TRC) alisema watajenga reli ya SGR mpaka Arusha, ila kwa sasa wanakarabati ile ya zamani.
Unanitaka nisifie reli ya zamani iliyouliwa na serikali ya ccm!
Ujinga kaa nao mwenyewe.
 
Ni kweli CCM waliiua na hata mimi sikuwapenda wakati ule ila kwasasa tuna Magu ambaye ameonesha nia njema kwa nchi yetu. Reli inayofufuliwa si haba kwa sasa hata ile ya kigoma na mpanda bado ni ya zamani ila baadae zote hizo pamoja na nyingine mpya ya Mtwara - Mbamba Bay zote zitakuwa za SGR.
 
Ni kweli CCM waliiua na hata mimi sikuwapenda wakati ule ila kwasasa tuna Magu ambaye ameonesha nia njema kwa nchi yetu. Reli inayofufuliwa si haba hata ile ya kigoma na mpanda bado ni ya zamani ila taratibu tutafika.
Anatoka chama gani huyo magu wako!!?
 
Hatari nyingine:
Benki ya dunia imeitahadharisha Serikali ya Tanzania juu ya ukubwa wa deni lake lililofikia trillion 47+ kwa rekodi mpaka mwezi Mei mwaka huu.

Imetaja japo deni bado ni himilivu lakini Tanzania lazima iwe makini maana linaelekea kutokuhimilika

Chanzo: Mwananchi
 
Ni kweli CCM waliiua na hata mimi sikuwapenda wakati ule ila kwasasa tuna Magu ambaye ameonesha nia njema kwa nchi yetu. Reli inayofufuliwa si haba kwa sasa hata ile ya kigoma na mpanda bado ni ya zamani ila baadae zote hizo pamoja na nyingine mpya ya Mtwara - Mbamba Bay zote zitakuwa za SGR.
Ukisikia SGR unaelewa ni nini mkuu?
 
Ukisikia SGR unaelewa ni nini mkuu?
Reli yenye upana wa 4ft na 8 1⁄2in kwa kipimo cha imperial ambacho hapa Marekani kinaitwa standard kutofautisha na kile cha metric.
 
Hii ni thread ya liberia au Magu? Wabongo ni shida....
 
Back
Top Bottom