International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Deni la taifa la Marekani au kama wao wanavyoliita Federal Debt, Government Debt, National Debt, U.S Public Debt linapaa kwa kasi sana limefikia $35 trillion ambalo ni sawa na $104,082 kwa kila...
13 Reactions
130 Replies
5K Views
Rais wa Colombia, Gustavo Petro, amekosoa vikali Marekani baada ya kufutiwa viza kwa sababu ya msimamo wake dhidi ya vita vya Gaza. Gustavo alionekana mjini Newyork akiungana na waandamaji...
13 Reactions
108 Replies
4K Views
Benjamin Netanyahu - 21 October 1949 HAPPY BIRTHDAY MASHINE YA KAZI Panapo majalliwa utawashinikiza waliomuua mtanzania mwenzetu kikatili warejeshe mwili wake uje uzikwe Tanzania
3 Reactions
10 Replies
442 Views
  • Featured
Madagascar imemfuta uraia aliyekuwa rais wa nchi hiyo kabla ya kupinduliwa na jeshi. Waziri mkuu, Herintsalama Rajaonarivelo ndiye ametia sahini maamuzi haya ya kihistoria. Habari hii ni kwa...
8 Reactions
41 Replies
2K Views
Kwenye hizi space program, kuna mashirika yanayomilikiwa na serikali na binafsi. Mfano serikali ya Marekani ina shirika la NASA na serikali ya China ina shirika la CNSA. Lakini kuna kampuni...
4 Reactions
9 Replies
666 Views
Mahakama nchini Mali imemhukumu aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Moussa Mara, kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kosa la kuchapisha ujumbe wa mtandaoni uliodaiwa kukosoa mamlaka ya serikali na kuunga...
0 Reactions
0 Replies
149 Views
Kuna habari za uhakika Israel imepeleka Mifumo ya ulinzi wa anga na kuisimika huko na haijajulikana vizuri nini maana yake!!
2 Reactions
10 Replies
661 Views
Marekani imeshuka hadi karibu na nafasi za mwisho katika Orodha ya Amani ya Dunia ya mwaka 2025 (Global Peace Index), ikishika nafasi ya 128 kati ya mataifa 163, kwa mujibu wa ripoti mpya kutoka...
0 Reactions
7 Replies
739 Views
Nipo mitaa ya jijini Nairobi nikibarizi habari za hapa na pale na leo nimepata kusikia tetesi za Raisi Ruto kufikiria kumteua bwana Gideon Moi kuwa makamu wa waziri mkuu wa Kenya. Bwana Gideon ni...
0 Reactions
1 Replies
299 Views
Ivory Coast ilifanya uchaguzi wa urais Oktoba 25,2025, uchaguzi uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu lakini pia kwa hofu kutokana na misukosuko ya kisiasa iliyoikumba nchi hiyo wiki kadhaa kabla ya...
0 Reactions
3 Replies
308 Views
Miezi miwili kabla ya 'mapinduzi', plans zilitangazwa za kujenga chuo kikubwa sana kilichopewa jina la Robert Mugabe University. Siku chache tu kabla ya 'mapinduzi' kuna main road/highway muhimu...
7 Reactions
27 Replies
4K Views
Rais wa Nigeria, Bola Tinubu, amefanya mabadiliko makubwa katika uongozi wa jeshi huku nchi hiyo ya Afrika Magharibi ikiendelea kukabiliana na ongezeko la vurugu kaskazini na changamoto nyingi za...
1 Reactions
10 Replies
533 Views
Rais wa Cameroon, Paul Biya mwenye umri wa miaka 92, ambaye ni mkuu wa nchi mzee zaidi duniani, ameshinda tena uchaguzi wa urais kwa muhula wa nane, kwa mujibu wa matokeo rasmi yaliyotangazwa leo...
0 Reactions
7 Replies
416 Views
Mamlaka ya Usimamizi wa Mtandao wa China (Cyberspace Administration of China) imeweka masharti kwa washawishi mtandaoni pamoja na mitandao mikubwa ya kijamii nchini humo. Huu mpango umependekezwa...
2 Reactions
5 Replies
285 Views
Uholanzi walikuwa na kampuni ya inayoitwa Nexperia ya kutengeneza semiconductors ambayo ilikuwa inaelekea kufirisika. Wakaja wawekezaji wa Kichina kampuni ya Wingtech Technology Co wakainunua...
14 Reactions
23 Replies
1K Views
Takriban watu wanne wameripotiwa kuuawa kwa kupigwa risasi katika maandamano ya upinzani yaliyofanyika Jumapili Oktoba 26, 2025 mjini Douala, Cameroon, ambapo Waandamanaji walikuwa wakilalamikia...
0 Reactions
5 Replies
286 Views
Rais wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah Rais wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah, amemfuta kazi Natangwe Ithete kutoka nyadhifa zake za Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Viwanda, Madini na Nishati...
1 Reactions
0 Replies
187 Views
Maelfu ya waandamanaji walimiminika mitaani jijini Douala, mji mkuu wa kiuchumi wa Cameroon, siku ya Jumapili Oktoba 26, 2025 wakijibu wito wa kitaifa uliotolewa na kiongozi wa upinzani, Issa...
0 Reactions
1 Replies
201 Views
Jana siku ya jumatano ya tarehe 30 rabiy-l - Akhiyr 1447 (H) sawa na 22 September 2025 (AD) ufalme wa Saudi Arabia umemteua na kumtangaza Sheikh Dr Swaaleh bin Fauzaan bin Abdillaah Al fauzaan...
7 Reactions
51 Replies
2K Views
Kutoa tamko kwa kukurupuka na bila kufanya uchunguzi au kusikiliza upande unaotuhumiwa ni uhuni kama uhuni mwingine. Hata D.Trump anaziona hizi jumuia za kimataifa kama magenge ya wahuni tu.
1 Reactions
6 Replies
318 Views
Back
Top Bottom