Haya mambo yalitokea kabla tu ya Mapinduzi ya Zimbabwe

Keynez

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
2,397
3,884
Miezi miwili kabla ya 'mapinduzi', plans zilitangazwa za kujenga chuo kikubwa sana kilichopewa jina la Robert Mugabe University.

Siku chache tu kabla ya 'mapinduzi' kuna main road/highway muhimu ilipewa jina la Robert Mugabe.

Siku chache tu kabla ya 'mapinduzi', airport ya Harare ilibadilishwa jina na kuitwa 'Robert Mugabe International Airport'.

Najiuliza, kwa nini kulikuwa na mfululizo wa naming campaigns zilizofuatana kabla ya 'mapinduzi'?

Tafakari.
 
Kwa season ilivyoenda hata mgabe alikuwa part of plan, hakuna cha mapinduzi wala mini hiyo ilukuwa movie. Wazimbabwe wamechezewa akili zao basi.
 
Naona walijiandaa vilivyo kumuenzi Mugabe ila natabiri kuna siku haya majina yatabadilishwa tena.

Maya Angelou aliwahi kusema 'People will forget what you said or what you did but they will never forget how you made then feel'.
 
EEfH4w2WsAATlfb.jpeg

Mugabe alikataliwa mpaka kwenda kuagwa maiti yake. Serikali ilifikiri raia wanampenda, ikampeleka kwenye liuwanja linalomudu watu elfu sitini 60,000. Waliofika ni chini ya 10,000.
 
Siyo kwamba ilifikiri wananchi wanampenda, bali wanawalazimishia 'ubaba wa taifa'. Bado alikuwa na marafiki wengi ndani ya serikali na jeshi la sivyo angezikwa kimya kimya.

View attachment 1209186
Mugabe alikataliwa mpaka kwenda kuagwa maiti yake. Serikali ilifikiri raia wanampenda, ikampeleka kwenye liuwanja linalomudu watu elfu sitini 60,000. Waliofika ni chini ya 10,000.
 
Siyo kwamba ilifikiri wananchi wanampenda, bali wanawalazimishia 'ubaba wa taifa'. Bado alikuwa na marafiki wengi ndani ya serikali na jeshi la sivyo angezikwa kimya kimya.
Hawa viongozi wa Zimbabwe wapuuzi sana. Kuna habari kuwa wanamjengea kaburi la dola milioni moja (Shilingi Bilioni 2.3 za Tanzania). Hilo ni kaburi tu. Bado haya mambo mengine wanayofanya yanavyoigharimu nchi kila siku mamilioni ya pesa.

Pamoja na hayo eti tunajitangaza tunawatetea waondolewe vikwazo. Hizi akili alizotupa Mungu huko kwetu Afrika, hata sijui. Nitatamani watoto na wajukuu wangu wabakie huku huku kwa wazungu. Mambo ya Afrika ni afadhali mara mia ubaguzi kidoogo walionao wazungu.
 
Uzi unatafakarisha sana! Aisee!
Mmh! Walimpumbaza mzee na misifa kedekede, kumbe nyuma yake wanamlia timing!

Everyday is Saturday............................... :cool:
Si unaona mkuu au labda ilikuwa ni coincidence tu ila......
 
Back
Top Bottom