Balozi John Bolton aliyekuwa mshauri wa masuala ya ulinzi wa Trump kabla ya kutofautiana pakubwa na kugeuka kuwa mkosoaji mkubwa wa Trump na utawala wake ameshitakiwa kwa makosa mazitio...
Kuna msemo wa wahenga mficha magonjwa kifo humuumbua. Msemo huo umedhibitiks leo.
Mkuu wa Majeshi wa Houthis, Meja Jenerali Mohammed Abdul Karim Al-Ghamari, aliuawa katika shambulio la anga la...
Magaidi kadhaa waliokuwa na silaha waliviona vikosi vya IDF vinavyokaribia kufanya kazi katika eneo la Beit Lahia nyuma ya mstari wa njano, na kusababisha tishio la mara moja kwa askari.
Kwa...
Cameroon
Yaani kwa mujibu wa wananchi waliofuatiilia wizi wa kura, waliojiandikisha kupiga kura serikali wameweka wapiga kura hewa na picha moja inayoonekana ya mpiga kura ni ya Mo Salah 😀...
Kiongozi wa mpito wa Mali, Jenerali Assimi Goïta, amewafukuza kazi maafisa waandamizi wa jeshi takriban kumi na wawili kwa tuhuma za kuhusika katika jaribio la mapinduzi lililoshindikana mwezi...
Wakuu ni siku ya tatu leo Madagascar hali si shwari kabisa,kumbuka jana Waziri wa nishati alishaliwa kichwa kunusuru malalamiko ya Wandaamanaji lakini bado haijasaidia kitu.
Soma pia >> Gen Z...
Baada ya kuwa qatar na turkey wanamchekea chekea hamas kwa unafiki wao wa kuwatakia mema wana gaza kumbe wanafurahia ya hamas kufanya taharuki, wenyewe uae na saudi arabia wamekataa ujinga huo...
Afisa wa Uhusiano wa Umma wa Polisi, CSP Benjamin Hudeyin, amekanusha ripoti zinazodai kuwa Polisi walijaribu kutumia Mahakama kuzuia maandamano ya #FreeNnamdiKanuNow, akisema hawakuwahi...
Serikali ya Rwanda inayoongozwa na Rais Paul Kagame imetoa orodha ya majina 25 ya watu wanaotajwa kuwa wapinzani na magaidi wa taifa
Katika orodha hiyo watu wengi waliotajwa ni waliokuwa...
Rais wa Lebanon Joseph Aoun anachapisha kwenye ukurasa wake rasmi maudhui ya hotuba ya Mbunge wa Lebanon Alain Aoun (mpwa wa Rais wa zamani Michel Aoun):
Wakati umefika wa kumaliza mzozo na...
Idara mbalimbali za polisi Marekani zimepongeza na kuridhika na jinsi ,aandamano makubwa yaliyopewa jina la Hakuna Mfalme Marekani mahususi kupinga ukiukwaji wa katiba unaofanywa na rais nchi hiyo...
Kikosi maalum cha Kijeshi nchini Madagascar cha 'CAPSAT' kimetangaza kuchukua madaraka, kikimwondoa madarakani Rais Andry Rajoelina, baada ya Wabunge katika Bunge la kitaifa kupiga kura ya...
Baraza la Mawaziri lapiga kura kubadili jina la vita vya Gaza kutoka ‘Upanga wa Chuma’ hadi ‘Vita vya Uamsho -Serikali imeidhinisha kwa wingi pendekezo la Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu la kuviita...
Ugaidi wa Jihadi nchini Marekani
Huko New York, magaidi waliandaa mkesha wa kuwaombolezea viongozi wao ambao waliangamizwa wakati wa vita na Israeli na katika operesheni mbalimbali zilizopita...
Kanali wa jeshi Michael Randrianirina ameapishwa kuwa Rais mpya wa Madagascar leo Oktoba 17, 2025 kufuatia mapinduzi ya kijeshi yaliyotokea kwa kasi na kumng’oa madarakani Rais Andry Rajoelina...
Vifaru vya IDF vinawafyatulia risasi Wanajihadi wa Nazi huko Gaza ambao wanajaribu kutembea kuelekea kaskazini mwa Gaza.
Hawaruhusiwi kwenda kaskazini zaidi kutoka hapo walipo.
Nchini China, siku ya Ijumaa, maafisa tisa, wakiwemo maafisa wawili wa juu wa jeshi, wamefukuzwa kazi. Kwa mujibu wa Reuters, waliotimuliwa ni pamoja na Jenerali He Weidong na Admirali Miao wa...
Usiku wa Oktoba 15, 2025 ghasia kubwa ilizuka nchini Cameroon kufuatia maandamano ya wananchi wakichoma baadhi ya majengo ya Serikali na Jengo la chama cha Cameroon People's Democratic...
Rais wa Marekani Donald Trump ameonya kikundi cha Hamas kwamba kama wataendelea kwenda kinyume na mkubaliano basi ataruhusu IDF irudi tena kufanya mashambulizi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.