International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

BREAKING: Ujerumani imesaini mkataba wa kombora wa Euro BILIONI 2 na Israel. Wakati wengine wakikabiliwa la kuitenga Israel, Ujerumani inanunua makombora ya Spike ya RAFAEL kwa idadi kubwa. Ulaya...
1 Reactions
5 Replies
323 Views
Baada ya Magaidi wa Hamas kushindwa kwenye vita waliyoianzisha wao wenyewe Oct 07,2023 sasa hivi wamewageukia raia wasio na hatia kwa kuwapiga na kuwaua kwa njia za kutisha kabisa. Ukiondoa...
0 Reactions
12 Replies
376 Views
Wakiasi dhidi ya Waziri Mkuu, MKs walipitisha usomaji wa awali wa mswada wa upanuzi wa Ukanda wa Magharibi Kikao katika ukumbi wa kusanyiko wa Knesset huko Jerusalem mnamo Oktoba 22, 2025 (Chaim...
0 Reactions
0 Replies
185 Views
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo hii ametimiza miaka 76 toka kuzaliwa. Ametimiza na anaendelea kutimiza kusudio lake hapa duniani kwa kuwanyoosha magaidi na maadui wa Israel popote...
4 Reactions
33 Replies
668 Views
Tovuti ya Yemeni "Defense Line," ambayo inapinga Houthis, iliripoti usiku kucha ikinukuu vyanzo vyake kwamba Waziri wa Ulinzi wa Houthi, Mohammed Nasser al-Atifi, amelazwa hospitalini akiwa katika...
0 Reactions
0 Replies
180 Views
Kanisa Katoliki nchini Cameroon limetoa wito wa utulivu huku kukiwa na hofu ya kutokea machafuko, wakati nchi hiyo ikisubiri matokeo rasmi ya uchaguzi wa urais uliofanyika Oktoba 12, 2025. Kanisa...
1 Reactions
0 Replies
138 Views
Nimekuwa nikitazama picha za mazishi ya Raila na nimeiona wakiweka mwili wake wazi na hadharani kabisa bila kizuizi chochote. Sielewi kwa nini, lakini kwa mimi binafsi sikubaliani kabisa na...
10 Reactions
144 Replies
3K Views
Baada ya uchaguzi wa urais nchini Cameroon uliofanyika Oktoba 12, 2025 Tume ya Kitaifa ya Kuhesabu Kura imetoa matokeo ya awali yanayomuonyesha rais aliyeko madarakani, Paul Biya, akiongoza kwa...
0 Reactions
1 Replies
226 Views
Hamas ni asasi ya mkakati kama Alqaida. Hamas ni kama Uislamu ulivyoundwa na Vatican kwa mkakati maalum. Kuna muda Uislamu uliasi ndivyo Hamas ilivyo asi. Qatar kulingana na mkataba ndio mtoa pesa...
9 Reactions
67 Replies
2K Views
Tafiti iliyofanyika nchini Marekani ionyesha kwa asilimia kubwa Vijana wanatumia akili Unde ( Artificial Intelligence AI) Kwa ushauri wa Mahusiano, kama rafiki wa karibu zaidi ya Uhalisia na...
3 Reactions
7 Replies
863 Views
JD Vance yuko njiani kuelekea kituo cha kijeshi cha Marekani huko Kiryat Gat,Israel.
1 Reactions
4 Replies
229 Views
Rais wa Marekani amewajibu waandamanaji wa Hakuna Wafalme Marekani kwa kuposti video akiwa ndani ya ndege akiwanyea mavi waandamanaji waliokuwa katika maandamano hayo.
13 Reactions
39 Replies
1K Views
Mgombea urais wa upinzani nchini Cameroon, Issa Tchiroma Bakary, ametangaza ushindi wake katika uchaguzi wa urais uliofanyika Oktoba 12, 2025 akimtaka Rais Paul Biya akubali matokeo na “aiheshimu...
0 Reactions
3 Replies
445 Views
Baada ya Serikali ya Rwanda kutoa Orodha ya Majina ya Watu 25 ya raia wanaodaiwa kuhusika na ugaidi pamoja na ufadhili wa makundi ya kigaidi. Orodha iliyoandaliwa na kuidhinishwa na Kamati ya...
2 Reactions
1 Replies
230 Views
Magaidi wa Hamas kama ilivyo kawaida yao wamevunja makubaliano kwa kuleta Maiti za watu 3 na mzoga wa mpalestina mmoja kitu ambacho ni utovu wa nidham Kwenye makubaliano ilitakiwq waachilie Maiti...
2 Reactions
21 Replies
829 Views
Maelfu ya watu wamejitokeza barabarani jijini Brussels, Ubelgiji, wakishiriki katika mgomo wa kitaifa kupinga mageuzi ya serikali na hatua za kupunguza matumizi, ambazo zimepelekea usafiri wa anga...
1 Reactions
3 Replies
273 Views
🇮🇱 Sasa mateka wetu Wapo nyumbani Kutoka kwa Kfar Aza, Nir Oz, na Nahal Oz - walichukuliwa kutoka kwa nyumba zao, wengine wakiwa wamevalia nguo za kulalia kutoka vitandani mwao. Mnamo Oktoba...
5 Reactions
95 Replies
2K Views
Mwaka huu pekee 7000 tayari wamechinjwa kisa imani yao Haya yanatekeleezwa na Boko Haram na mashambulizi ya makundi kama vile wanamgambo wa Fulani na ISIS-West Africa Province (ISWAP). Vikundi...
4 Reactions
25 Replies
647 Views
Kama magaidi wa Hamas wataendeleq kuzuilia maiti za wapendwa wetu basi Israel itarudi huko na kumalizia kazi iliyobakia ya kuwafuta magaidi hao
1 Reactions
3 Replies
197 Views
Waziri wa Ulinzi Israel Katz: amesema Sera ya Israel huko Gaza iko wazi ambazo ni- 1- Kuwarudisha mateka wote, walio hai na waliokufa nyumbani Israel. 2 - Kuwapoklonya silaha magaidi wa Hamas...
2 Reactions
2 Replies
322 Views
Back
Top Bottom