Siku ya leo, kiongozi wa Israel, Benjamin Netanyahu anasherehekea Miaka 76

Siku ya leo, kiongozi wa Israel, Benjamin Netanyahu anasherehekea Miaka 76

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,214
Reaction score
9,643
Benjamin Netanyahu - 21 October 1949

HAPPY BIRTHDAY MASHINE YA KAZI

Panapo majalliwa utawashinikiza waliomuua mtanzania mwenzetu kikatili warejeshe mwili wake uje uzikwe Tanzania

1761054503453.png
 
Majambazi ni wale waliomuua mtanzania mwenzetu na wakaondoka na maiti yake hadi leo hawataki kuirejesha
Naelewa hilo ndio maana nikatumia neno -jambazi wetu, ikiwa na maana ya mtu ninae mkubari, pia vilevile wengine walimuita hivyo ila sasa wanaanza kujuta kwa haya wanayo yafanya hamas kwa sasa.
 
Happy 76th Birthday to Benjamin "Bibi" the best Israel prime minister in 21st century.

Huwa ananipa raha sana vile anavyowachezesha kindumbwe ndumbwe wavaa kobazi na umoja wao.
 
😄😄😄.mwambia wanamsubiri kaburini.
Siku Moja ya mwenyezi mungu ni sawa na miaka 1,000 ya Duniani.
Yaani hapo amekaa sekunde kadhaa
 
NAMTAKIA KHERI YA MFANANO WA SIKU YA KUZALIWA KWAKE!
MWISHO WA KUNUKUUU
 
Back
Top Bottom