International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Miezi miwili kabla ya 'mapinduzi', plans zilitangazwa za kujenga chuo kikubwa sana kilichopewa jina la Robert Mugabe University. Siku chache tu kabla ya 'mapinduzi' kuna main road/highway muhimu...
7 Reactions
27 Replies
4K Views
Rais wa Nigeria, Bola Tinubu, amefanya mabadiliko makubwa katika uongozi wa jeshi huku nchi hiyo ya Afrika Magharibi ikiendelea kukabiliana na ongezeko la vurugu kaskazini na changamoto nyingi za...
1 Reactions
10 Replies
533 Views
Rais wa Cameroon, Paul Biya mwenye umri wa miaka 92, ambaye ni mkuu wa nchi mzee zaidi duniani, ameshinda tena uchaguzi wa urais kwa muhula wa nane, kwa mujibu wa matokeo rasmi yaliyotangazwa leo...
0 Reactions
7 Replies
416 Views
Mamlaka ya Usimamizi wa Mtandao wa China (Cyberspace Administration of China) imeweka masharti kwa washawishi mtandaoni pamoja na mitandao mikubwa ya kijamii nchini humo. Huu mpango umependekezwa...
2 Reactions
5 Replies
285 Views
Uholanzi walikuwa na kampuni ya inayoitwa Nexperia ya kutengeneza semiconductors ambayo ilikuwa inaelekea kufirisika. Wakaja wawekezaji wa Kichina kampuni ya Wingtech Technology Co wakainunua...
14 Reactions
23 Replies
1K Views
Takriban watu wanne wameripotiwa kuuawa kwa kupigwa risasi katika maandamano ya upinzani yaliyofanyika Jumapili Oktoba 26, 2025 mjini Douala, Cameroon, ambapo Waandamanaji walikuwa wakilalamikia...
0 Reactions
5 Replies
286 Views
Rais wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah Rais wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah, amemfuta kazi Natangwe Ithete kutoka nyadhifa zake za Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Viwanda, Madini na Nishati...
1 Reactions
0 Replies
187 Views
Maelfu ya waandamanaji walimiminika mitaani jijini Douala, mji mkuu wa kiuchumi wa Cameroon, siku ya Jumapili Oktoba 26, 2025 wakijibu wito wa kitaifa uliotolewa na kiongozi wa upinzani, Issa...
0 Reactions
1 Replies
201 Views
Jana siku ya jumatano ya tarehe 30 rabiy-l - Akhiyr 1447 (H) sawa na 22 September 2025 (AD) ufalme wa Saudi Arabia umemteua na kumtangaza Sheikh Dr Swaaleh bin Fauzaan bin Abdillaah Al fauzaan...
7 Reactions
51 Replies
2K Views
Kutoa tamko kwa kukurupuka na bila kufanya uchunguzi au kusikiliza upande unaotuhumiwa ni uhuni kama uhuni mwingine. Hata D.Trump anaziona hizi jumuia za kimataifa kama magenge ya wahuni tu.
1 Reactions
6 Replies
318 Views
Netanyahu kwa Habari za CBS: "Tulikubaliana kutoa nafasi ya amani. Masharti ya mpango wa pointi 20 yako wazi sana. Sio tu kwamba tunawatoa mateka, lakini pia kuhusu kuwapokonya silaha na...
1 Reactions
23 Replies
658 Views
🔴IDF imewaangamiza magaidi waliohusika na utekaji nyara wa Noa Argamani, Avinatan Or, na Eitan Mor kwenye tamasha la muziki la Nova. Sasa inaweza kufichuliwa kwamba magaidi wanane waliojipenyeza...
1 Reactions
1 Replies
202 Views
Baada ya Uingereza kuru huku wahamiaji kutoka nchi za kiarabu na Asia kuingia nchini na kuwapa hifadhi kwa kisingizio kuwa kwao wananyanyaswa sasa wahamiaji hao wamebadirisha MFUMO mzima wa maisha...
2 Reactions
19 Replies
822 Views
Mamlaka ya Mauritius imemkamata msaidizi wa Rais wa zamani wa Madagascar Andry Rajoelina kwa tuhuma za utakatishaji fedha. Maminiaina Ravatomanga, ambaye alikimbilia Mauritius baada ya Rajoelina...
2 Reactions
5 Replies
324 Views
Wahouthi bado wanaendelea kuhangaika Kuficha vifo vya viongozi wao!! Gazeti la Yemeni Defense Line linaripoti kwamba Wahouthi wanajiandaa kutangaza vifo vya viongozi kadhaa wakuu, waliouawa na...
3 Reactions
10 Replies
435 Views
  • Featured
Rais wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy, anatarajiwa kuanza kifungo chake cha miaka mitano gerezani Jumanne, kufuatia hukumu ya kula njama ya kupokea fedha haramu kutoka kwa Rais wa zamani wa...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Israel Yaikabidhi Ukraine Mifumo ya Ulinzi wa Anga ya Patriot Iliyopewa na Marekani Serikali ya Israel imetangaza rasmi kuipelekea Ukraine mifumo ya ulinzi wa anga ya kisasa aina ya Patriot Air...
2 Reactions
5 Replies
519 Views
Ukitizama unaweza kucheka lakini ni jambo la kufikiria sana. Yani Makomando wameshindwa kutua sehemu husika wote wametua nje ya uwanja. Hii inaonyesha ishara gani kwao? ============= Nchini...
14 Reactions
27 Replies
1K Views
Akili zenu zimepikwa kuchukia na kupenda kwa maagizo ila sio kwa utashi wenu Chuki yenu inakataa hata historia ya kweli kuwa ardhi ile ni asili ya wayahudi na ni haki yao. Nafsi zenu...
5 Reactions
13 Replies
493 Views
Viongozi wawili wakuu wa upinzani nchini Cameroon wamekamatwa, chama chao cha Union for Change kilisema kupitia taarifa iliyotolewa Oktoba 24, 2025 — hatua inayoongeza mvutano wa kisiasa baada ya...
0 Reactions
0 Replies
164 Views
Back
Top Bottom