Maelfu ya wakimbizi wameachwa bila makazi baada ya moto mkubwa kuunguza mahema katika kambi kubwa zaidi ya wakimbizi barani Ulaya ya Moria iliyopo katika kisiwa cha Lesbos nchini Ugiriki, kisiwa...
Mahakama nchini Saudi Arabia imewahukumu watu watano kifungo cha miaka 20 jela, mtu mmoja kifungo cha miaka 10 na wawili miaka 7 kwa kumuua mwandishi Jamal Khashoggi.
Mwandishi huyo mkosoaji wa...
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa tarehe ya mwisho iliyopagwa kwajili ya kampuni ByateDace ya China kuuza programu nukushi ya Tiktok nchini humo haitaongezwa.
Trump ameyasema hayo...
Umoja wa Mataifa umeagiza kikosi maalumu kwa ajili ya kuhakikisha usalama kwa mshindi wa tuzo ya amani Denis Mukwege baada ya kupokea vitisho kutokana hatua alizochukua kudai haki kwa uhalifu unao...
Rais Paul Kagame wa Rwanda Jumapili amekanusha kwamba serikali yake ilimteka Paul Rusesabagina ambaye sasa anashikiliwa nchini humo kwa makosa ya ugaidi na mengineyo.
Rusesabagina ni maarufu...
Polisi katika mji wa Salt Lake City katika jimbo la magharibi mwa Marekani la Utah wamempiga risasi kijana mwenye umri wa miaka 13 aliyekuwa na matatizo ya akili baada ya mama yake kupiga simu...
Mahakama ya Kikatiba nchini humo imempitisha Rais Alpha Conde (82) kugombea kwa muhula wa tatu katika Uchaguzi Mkuu ujao unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba
Mahakama hiyo ya juu zaidi Guinea pia...
Rais Donald John Trump anatarajia kuiingiza kampuni kubwa ya kutengeneza vifaa vya elektroniki ya China, Semiconductor Manufacturing International Corporation au SMIC ya China kwenye blacklist ya...
Joe Biden stands a 71.1% chance of winning the Electoral College, according to the Sept. 7 run of poll aggregator FiveThirtyEight’s election forecasting model. He is predicted to win 334 of 538...
Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China kwa mwaka 2020 yamefanyika mjini Beijing kuanzia tarehe 4 hadi 9 Septemba yakiwa na kaulimbiu ya "Kutoa Huduma Duniani, Kuleta Faida ya...
Majaribio ya mwisho ya kimatibabu kwa ajili ya chanjo ya virusi vya corona , iliyotengenezwa na AstraZeneca pamoja na Chuo Kikuu cha Oxford yamesitishwa baada ya mshiriki kuugua kutokana na athari...
China 'kujenga' kambi za kijeshi Tanzania na Kenya
Jeshi la China
Getty ImagesCopyright: Getty Images
China inafikiria kujenga kambi za kijeshi katika nchi nne za Afrika, kwa mujibu wa ripoti ya...
More than a dozen California firefighters trying to protect a fire station in rugged mountains were overrun by flames Tuesday, and several were hurt. Elsewhere, military helicopters rescued more...
Waandamanaji nchini Afrika Kusini wamewalazimisha wenye maduka ya dawa na vipodozi kufunga maduka yao, baada ya kurushwa kwa tangazo la nywele ambalo wanadhani kuwa la ubaguzi wa rangi.
Tangazo...
CHAD: MAGAZETI 12 YAFUNGIWA KWA MADAI YA KUKIUKA SHERIA
Mamlaka inayosimamia vyombo vya habari nchini humo imeyafunga magazeti 12 kwa muda wa miezi 3 kwa madai yamevunja Sheria. Matano kati yao...
Kiongozi wa upinzani Venezuela Juan Guaido amelitaka jeshi la nchi hiyo kuunga mkono hatua ya kususia uchaguzi wa bunge unaopangwa Desemba na kusaidia kuongeza shinikizo la kimataifa dhidi ya Rais...
Makamu wa kwanza wa Rais nchini humo, Amrullah Saleh amenusurika shambulio la bomu ambalo limesababisha vifo viwili na majeruhi 12
Imeelezwa kuwa, Saleh na msafara wake walikuwa wanaelekea...
England to limit gatherings to six amid coronavirus resurgence
At least 2,460 new infections were reported on Tuesday - a sharp rise from levels of around 1,000 per day in August.
September 9...
Uchumi wa nchi hiyo umeporomoka kwa asilimia 51 katika kipindi cha robo ya pili ya mwaka 2020 kufuatia mlipuko wa CoronaVirus
Kuanzia mwezi Machi, Afrika Kusini ilitangaza amri ya kutotoka ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.