Guinea: Mahakama ya Kikatiba yampitisha Rais Alpha Conde (82) kugombea kwa muhula wa 3

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Mahakama ya Kikatiba nchini humo imempitisha Rais Alpha Conde (82) kugombea kwa muhula wa tatu katika Uchaguzi Mkuu ujao unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba

Mahakama hiyo ya juu zaidi Guinea pia imewapitisha wagombea wengine 11 akiwemo Mpinzani Mkuu, Cellou Dalein Diallo

Kwa miezi sasa, kumekuwa na maandamano kupinga Rais Konde kugombea tena baada ya kubadilisha Katiba Machi mwaka huu, hatua iliyomuwezesha kuwania tena Urais

Siku chache zilizopita, Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari aliwataka viongozi wa ukanda huo kuheshimu muda wa uongozi uliopo Kikatiba akisema ni chanzo cha migogoro na mivutano wa kisiasa

===

Guinea's constitutional court, the highest in the West African country, has approved 82-year-old President Alpha Condé's bid for a third term in next month's election.

The court also approved 11 other candidates, including the main opposition challenger Cellou Dalein Diallo.

There have been months of protests against Mr Condé's re-election bid after he pushed through a constitutional change in a referendum in March which allowed him to stand for a third term.

At least 30 people are reported to have died from the protests.

Mr Condé was first elected in 2010 and got re-elected in 2015.

On Tuesday Nigeria's President Muhammadu Buhari had called on West African leaders to stick to their constitutional term limits - which he termed as a source of crisis and political tension in the region.

Source: BBC
 
Hizo ndiyo kama zile mamlaka za kwetu:

Tume, mahakama, polisi na press za kina manjaa.

Sifa na utukufu wote zimrejee baba mwenyezi.
 
Back
Top Bottom