International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Nchi ya Equador iliyoko Amerika ya kusini ndio nchi ambayo iko karibu kabisa na mwezi na nyota duniani Ukiwa kule kwenye mlima Chimborazo ulioko nchi hiyo nyota na mwezi unaziona juu karibu na...
2 Reactions
25 Replies
5K Views
Paul Rudesabagina ambaye aliwasaidia Wanyarwanda wengi wakati wa Mauaji ya Kimbarikwa kuwahifadhi kwenye Hoteli aliyokuwa anaiongoza akamatwa Ujasiri wake ulipelekea kutengenezwa kwa filamu...
8 Reactions
135 Replies
15K Views
Incident at port of Bushehr latest in series of fires and blasts that could be part of sabotage campaign Wed 15 Jul 2020 14.27 At least seven vessels have caught fire in a southern Iranian...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Chuo Kukuu cha Namibia kitengo cha sayansi ya mifugo kinawafundisha mbwa kubaini virusi vya corona kwa kunusa. Mpango wa nchi hiyo ni kuwapelea mbwa hao katika viwanja vya ndege na vituo vya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Uingereza, Tim Davie amewazuia watumishi wa ashirika hilo kuandika mambo ya kisiasa katika mitandao ya kijamii inayoonyesha mrengo wao wa kisiasa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Lofa huyo kutoka Afrika Kusini aliwavunja watu mbavu baada ya kuwakusanya mifugo wake na kufanya mkutano nao - Kwenye kanda hiyo iliyopakiwa Twitter, lofa aliwaeleza mifugo wake chakula kitakuwa...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Mamlaka katika Mji Mkuu wa Addis Ababa,Ethiopia unapanga kutoa bure maelfu ya mikate kwa wakazi kama sehemu ya sherehe za kuadhimisha mwaka mpya wa Ethiopia 2013. Ruzuku hiyo ya siku moja...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Safari za ndege ndani ya Nigeria zilirejelewa Nigeria imepiga marufuku mashirika ya ndege kutokanchi kadhaa kuhudumu nchini humo kuanzia Jumamosi hii. Mashirika kumi ya ndege yamezuiliwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Joe Biden mistakenly endorsed President Donald Trump during a speech in St. Louis, and Donald Trump responded with "I agree with Joe!" on Twitter. In his speech, former vice president Joe Biden...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Rais wa Guinea, Alpha Condé,amekubali hatua ya chama chake kumteua kugombae muhula tata wa tatu madarakani. Bw. Condé, ambaye mwanazo alichaguliwa 2010,alishinikiza marekebisho ya katiba kupitia...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Zambia imekanusha madai yaliotolewa na msemaji wa zamani wa waasi wa FNL mahakamani kwamba Rais Edgar Lungu alifadhili kundi hilo kushambulia Rwanda. Mwaka jana, Callixte Nsabimana ambaye pia...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Wapinzani (Democrats) Hatimae wameuona Mwanga baada ya safari ndefu kwenye handaki, sasa ni dhahiri hata kwao kwamba Kumsdinda Trump kwa kumtumia mgombea wao Joe Biden ni kama kumchuna ngozi kupe...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Takriban watu tisini wamefariki na wengine karibu elfu 400 kuachwa bila makao kufuatia mafuriko makubwa Sudan. Umoja wa Mataifa unasema mafuriko hayo yamesababishwa na mvua kubwa inayoendelea...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais aliyetolewa mamlakani wa Sudan Omar al-Bashir alifikishwa kortini siku ya Jumanne katika kesi yake iliyoanza kusikilizwa juu ya mapinduzi ya kijeshi ambayo yalipelekea kuchukua madaraka mnamo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Australia imekumbwa na mporomoko mbaya zaidi wa uchumi katika robo ya kwanza tangu kutokea kwa mdorororo mkubwa kabisa wa kiuchumi duniani wa miaka ya 1930. Hali hiyo inatokana na janga la virusi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mafuriko wiki hii nchini Afghanistan yamegharimu maisha ya karibu watu 160 na waokoaji wanaendelea kutafuta watu ambao wamekwama kwenye matope na chini ya vifusi vya nyumba zilizosombwa na maji...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Israel will not tolerate an Iranian threat on its border with Syria and will do whatever is necessary to stop the terrorist regime. ==== The Israeli Air Force (IAF) on Monday night bombed...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Serikali ya Ethiopia inataka ufafanuzi kutoka kwa Marekani kuhusu madai kwamba imepunguza ufadhili wake kutokana na mzozo unaoendelea kuhusu bwawa kubwa la uzalishaji umeme katika mto Nile Wiki...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hali inazidi kua mbaya kwa Biden na wapambe wake ambao walitegemea Corona kumshinda Donald Trump. Toka mwezi July visa vipya vya Corona nchini Marekani vimekua vikipungua hivyo kumuongezea Credit...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amesaini sheria inayozuia shule za serikali kuwatenga wasichana ambao ni wajawazito kuhudhuria masomo. Chini ya marekebisho hayo ya Sheria, walimu pia...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom