Russian gold reserves break record
The country’s bullion holdings were valued at $402.7 billion as of early February
The value of Russia’s gold reserves has reached an all-time high, exceeding...
Algeria imeanza mchakato wa kusitisha makubaliano ya huduma za anga na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), ambayo yalisainiwa mwaka 2013.
Uamuzi huu unaweza kuathiri sekta za kiuchumi kama usafiri...
Taarifa ambazo hazikudhibitishwa na serikali ya DRC au kundi la M23, zimedai kwamba mnamo tarehe 5 February, 2026, bwana Erik D. Prince, mwenye kampuni ya mamluki nchini Marekani, alikamatwa na...
Magaidi wa Hamas baada ya kusimamisha mapigano walijikusanya kwenye Gorofa moja ili wajipange upya kuishambulia Israel.
Matokeo yake yalikuwa mabaya sana kwa waliuwawa wote waliokuwa ndani ya...
Dikteta na fisadi papa kiongozi wa china xi jinping amewafuta kazi na kuwaweka kizuizini general wa jeshi wawili kuwashutumu wanatumika na Trump, Pentagon (USA) kuihujumu china
Anawasingizia kuwa...
February 5 2026
Lusaka, Zambia
Ghana's President JOHN MAHAMA Addressing the Zambian National Assembly
Calls for African Economic Sovereignty
https://m.youtube.com/watch?v=FbGNJCpOmaU
Signalling...
Meli mbovu ile ilizama au unakuta iliharibika unakuta ipo beach au chini kabisa ya maji huwa zinajulikana kama shipwreck.
Kuna jambo nililiona hapo tarehe 15 hii january ambalo si la...
Kupitia tovuti zao, Ubalozi wa Marekani umetangaza kufunga Balozi zao nchini Burundi, Rwanda na Uganda.
Hii ilitokana na ukosefu wa Fedha katika Balozi hizo baada ya Marekani kuchukua hatua...
Faili za Epstein zinaibua kumbukumbu ya 'nyakati za uchungu mwingi katika ndoa yangu' - Melinda Gates
Chanzo cha picha,AFP via Getty Images
Bilionea Melinda French Gates amesema mumewe wa...
Siku hizi, ukitembelea mitandao ya kijamii, huenda utashuhudia video za kuvutia kama hizi: kijana wa Ulaya ya kaskazini akivaa viatu vizito vyenye picha za panda, anakunywa maji moto ili kuongeza...
Mamlaka zote za juu za shirikisho nchini Marekani (Federal Authorities) zilitangaza kuwa hazikupata ushahidi wowote wa njama au ushirikiano. Inadaiwa hakukuwa na orodha ya wateja, mtandao wa siri...
Yule bilionea wa Kimarekani aliyekuwa anatuhumiwa na makosa lukuki ya kufanya ngono na wasichana wadogo walio chini ya umri, kajiua akiwa lupango.
R. Kelly akituhumiwa kwa makosa hayo hayo...
King Mswati III steps off a private jet in Abu Dhabi, United Arab Emirates, followed by a long line of attendants moving like a planned royal procession.
After that, the internet starts filling...
Mpaka sasa, bado vita vya mashariki mwa DRC, vinazidi kupamba moto.
Baada ya kundi la M23 kuachia mji wa uvira, kwa shinikizo la Marekani, serikali ya DRC kupitia jeshi lake na washilika wake...
Kesi ya rufaa ya raia wa ufaransa mwenye asili ya Rwanda anayekabiliwa na tuhuma za mauaji ya kimbari imefunguliwa Jumanne katika Mahakama ya Assize ya Paris.
Claude Muhayimana alipatikana na...
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amemteua bila kukusudia mtu aliyekufa kuwa mjumbe wa kamati itakayoandaa uchaguzi wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
Msemaji wa ofisi ya rais amesema hii leo kwamba...
Jeshi la Nigeria lilitangaza kuwa limefanikiwa kumuua kamanda muhimu wa kundi la kigaidi la Kiislamu, Boko Haram, katika operesheni ya usiku iliyofanyika jimbo la Borno.
Abu Khalid alikuwa...
Polisi wa jimbo nchini Nigeria Jumanne wamewashtaki aliyekuwa Waziri wa Sheria, Abubakar Malami, pamoja na mwanawe Abdulaziz, kwa makosa matano yanayohusiana na ugaidi na umiliki wa silaha, miezi...
Saif al-Islam Gaddafi, mtoto wa aliyekuwa kiongozi wa Libya Kanali Muammar Gaddafi, ameripotiwa kupigwa risasi na kufariki dunia
Saif mwenye umri wa miaka 53, ambaye kwa muda mrefu alionekana...
Mtoto wa aliyekuwa Rais wa Libya, Hayati Muammar Gaddafi, Saif al-Islam ameripotiwa kuuawa katika eneo la Zintan nchini Libya, kwa mujibu wa wakili wake.
Hadi sasa hakuna maelezo zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.