Wow!! Jeffrey Epstein is no more

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,001
112,646
Yule bilionea wa Kimarekani aliyekuwa anatuhumiwa na makosa lukuki ya kufanya ngono na wasichana wadogo walio chini ya umri, kajiua akiwa lupango.

R. Kelly akituhumiwa kwa makosa hayo hayo, baadhi ya watu wanalia ubaguzi.

Ni vyema wakamweka Bw. Robert chini ya suicide watch.

Haya sasa. Epstein mzungu huyo....kaona isiwe tabu. Kaona kesi hawezi kushinda. Kaamua kujiua akiwa jela akisubiri kesi yake.

Watakuja wapenzi wa RK hapa
Ila huyu financier wamemtoa roho ama
Maana kuna watu wanahasira na watu wa hivi

Huyo Bw. Epstein alikuwa hachomoki!

Alikuwa anakabiliwa na mashitaka ya Feds.

Feds wana conviction rate ya zaidi ya 90%.

R. Kelly naye sasa hivi anakabiliwa na mashitaka ya Feds.

So it’s safe to assume that R. Kelly will never ever see the light of day again...
 
Mkuu Feds ndio FBI wenyewe kama mnavyolitumia huko? Au finance
Kelly hachomoki nilianza kufuatilia zamani sana tangu walipochukua laptop yake ikiwa na image nyingi za watoto wadogo nikamdharau sana
Acha afie jela nae
 
Fed ni federal government. So yes, FBI ni sehemu ya Feds.

Kwa mfano kwa muktadha huu wa Epstein na R. Kelly....sasa hivi wameshitakiwa na federal government badala ya state government.

Awali, wote hao wawili kesi zao zilikuwa ni za state government [nadhani ilikuwa ni Florida].

Ila, kwa makosa kama hayo ya trafficking ambayo yanavuka mipaka ya states kadhaa, tayari hapo inakuwa ni ishu ya federal government na siyo state governments tena.

Federal government inasifika sana kwa kuwa na conviction rate ya juu kwa sababu huwa wanajihakikishia kuwa wana ushahidi mwingi sana na wa kutosha dhidi yako kabla hawajakufungulia mashitaka.

Kwa hiyo naona Bw. Epstein kaona isiwe tabu. Kuliko kwenda kuozea na kufia kwenye federal penitentiary huko, ni bora afe tu sasa hivi kwa kujiondoa uhai mwenyewe.
 
Asante mkuu nimekuelewa vizuri
 
Ngoja waje team kutetea ma star. ...waanze kumwaga mapovu. .as if waliambiwa kuwa mastar sio binaadamu wa kawaida
 
Hahahaaa conspiracy theorists washaanza....

Eti Epstein hajafa....yawezekana ni uongo tu ili jamaa asimwage mboga na ugali maana skendo ilikuwa inagusa watu wakubwa kama Bill Clinton.

Kwa hiyo ‘habari’ ni kwamba sasa hivi yupo kwenye moja ya visiwa huko Caribbean.

Ikumbukwe alikuwa anamiliki kisiwa kimoja huko.

Hahaha I saw this coming though.

Heck, hata Tupac bado yupo hai.

Elvis bado yupo hai.

Balali naye bado yupo hai.

.......
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom