International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

https://youtu.be/tx3B0RfO9-U?si=sFMJsucXg7X-ZISJ
0 Reactions
9 Replies
211 Views
Venezuela imesafirisha shehena yake ya kwanza ya mafuta ghafi kwenda Israeli katika miaka mingi huku mauzo ya nje ya nchi hiyo yakifunguliwa tena kufuatia kukamatwa kwa Rais Nicolás Maduro...
1 Reactions
5 Replies
208 Views
Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina inakaribia. Siku hizi katika mitaa na vichochoro nchini China, kuna wageni wengi ambao wamekuja China kujionea na kupata uzoefu wa sikukuu hiyo muhimu sana...
5 Reactions
5 Replies
323 Views
Rais wa Marekani Donald Trump siku ya Jumatano ametoa wito wa "kufutwa mara moja" kwa kesi ya ufisadi inayomkabili Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu, ambayo ameitaja kuwa "haina umuhimu."...
2 Reactions
5 Replies
457 Views
Serikali ya Burkinabe imefuta rasmi Vyama na Mashirika yote ya Kisiasa nchini humo Mamlaka ikisema uamuzi huo ni hatua kuu katika ujenzi wa Serikali, ndani ya mfumo wa mpito unaoendelea tangu...
4 Reactions
24 Replies
789 Views
Kenya has announced plans to confront Russia over what it calls the “unacceptable” involvement of Kenyan nationals in armed conflicts abroad. Nairobi condemned reports that its citizens are...
0 Reactions
0 Replies
161 Views
As preparations for the Munich Security Conference get underway, the U.S. ambassador to NATO firmly denied allegations that Washington seeks to undermine the global order. The ambassador...
0 Reactions
0 Replies
109 Views
HABARI KUBWA! China imezuia uwekezaji mpya nchini Israeli kimya kimya. Hatuhitaji uwekezaji wa Kichina nchini mwetu!!!. Israeli ni taifa lenye nguvu duniani katika teknolojia, matibabu, na...
3 Reactions
12 Replies
377 Views
Rais Trump ametoa tangazo la video yenye ubaguzi wa rangi linaloonyesha Obamas kama tumbili. Ikulu ya Marekani awali ililinda chapisho hilo, kisha ikaeleza kuwa lilitolewa na mfanyakazi mmoja...
3 Reactions
11 Replies
528 Views
Hii Inatufundisha Usiamini Mtu hata kama Atakuonyesha upendo wa hali ya juu Kati ya mwaka 2013 hadi 2015 mwanadada Catherine perez shakdam raia wa Ufaransa aliingia nchini Iran kutokana...
43 Reactions
229 Replies
13K Views
  • Redirect
Mahakama ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Fedha (Kitengo cha Mahakama Kuu) imeamuru kutaifishwa kwa takribani magari 71 na mali 21 zinazomilikiwa na Dalitso, mwana wa rais wa zamani Edgar Lungu...
0 Reactions
Replies
Views
Nchi nyingi za kizungu zimeendekeza sana mambo ya kuwa open minded, Leo hii mtu anaweza kuchoma bendera, na ikaonekana sawa tu. Wageni wengi sana wasio na vibali wanaingia na kuruhusiwa uwa raia...
3 Reactions
6 Replies
194 Views
IMETANGAZWA:Operesheni ya IDF ya kijasiri huko Lebanon Baada ya magaidi wa Hezbollah kupigwa kama Ngoma kwa kipindi kirefu bila ya wao kurusha hata jiwe huko Israel!!! Leo hii kuna Maelezo mapya...
3 Reactions
1 Replies
203 Views
Takriban watu 31 wamekufa na wengine zaidi ya 150 wamejeruhiwa katika shambulizi la kujitoa muhanga kwenye msikiti wa Kishia uliopo Islamabad Pakistan. ----- A suicide attack at a Shia mosque...
3 Reactions
39 Replies
632 Views
Habari za karibuni ni kwamba mauaji ya wakristo na mapadre, yanayofanywa na magaidi wa kiislam yameendelea huko nchini Nigeria leo. Habari za karibuni zilizotufikia ni kwamba Padri wa Kanisa...
6 Reactions
109 Replies
2K Views
''Iran imelipa gharama kubwa kwenye programu ya amani ya nyuklia na urutubishaji wa uranium.-Abbas Araghchi - Kwanini tunasisitiza sana kwenye urutubishaji wa uranium na hatuna mpango wa kuachana...
1 Reactions
6 Replies
486 Views
Israeli inalaani Jukwaa la Al Jazeera kama "mkutano wa kilele wa jihadi" huko Doha Wizara ya Mambo ya Nje ya Israeli ilitoa karipio kali kwa Jukwaa la 17 la Al Jazeera lililofunguliwa Doha...
1 Reactions
4 Replies
252 Views
Kabla ya kuanguka Utawala wa Ghadhafi huyu mtoto wa Ghadhafi alikuwa kama Rais wa pili, leo ameliwa kichwa na Walibya. --- Mtoto wa aliyekuwa Rais wa Libya, Hayati Muammar Gaddafi, Saif...
14 Reactions
75 Replies
3K Views
BREAKING: Milipuko imeripotiwa kote Iran — angalau miji 7 Tehran, Bandar Abbas, Tabriz, Parand, Qeshm, Nowshahr, Ardabil Kaskazini, kusini, mashariki, magharibi. Yote ndani ya saa chache...
7 Reactions
250 Replies
5K Views
Tawi la kundi la kigaidi linalojiita dola la kiislamu IS limedai kuhusika na shambulizi la kujitoa mhanga dhidi ya msikiti mmoja wa madhehebu ya Washia Pakistan lililosababisha vifo vya watu 31 na...
3 Reactions
10 Replies
219 Views
Back
Top Bottom