International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Shirika la Habari la Aśvaka limeripoti kuwa vijana watatu wamefariki baada ya kudondoka kutoka kwenye ndege walipokuwa wakijaribu kuondoka kutoka Kabul, Afghanistan. Mapema leo, mamia ya raia wa...
4 Reactions
55 Replies
6K Views
Na Ronald Mutie Chama cha Kikomunisti Cha China sio tu kimesaidia nchini hiyo kufikia muujiza wa maendeleo ya kiuchumi lakini pia China imekuwa mchangiaji mkubwa kwa maendeleo ya ulimwengu...
0 Reactions
5 Replies
894 Views
Habari za siku nyingi Hakika tumepata kujionea kilichotokea na kinachoendelea kutokea kwenye ardhi ya Afghan Kwa hali ilivyo pale asia ya kati ni dhahiri sasa tujiandae kushuhudia matukio...
11 Reactions
80 Replies
6K Views
Habari wakuu. Mipaka ya nchi ni kitu kinachobadirika kila leo. Miaka 30 iliyopita kulikuwa na nchi kubwa ya USSR. Leo haipo, imetoa nchi kibao. Ujerumani haikuwa nchi moja, hakukuwa na Sudan...
0 Reactions
1 Replies
805 Views
Jana wana Mgambo wa Kitalabani waliitisha kikao chao cha kwanza na waandishi wa habari wa kimataifa kueleza jinsi watakavo uongoza serikali yao. katika vitu muhumu walivyo sema ni: 1. Utawaala...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Idadi ya waliofariki baada ya tetemeko kuikumba Haiti ni watu 2,189 huku wengine 12,000 wakijeruhiwa Haiti ni nchi masikini ambayo kwa sasa inakabiliwa na changamoto za kisiasa baada ya kuuawa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
The emerging Lambda variant has been popping up in the news as it spreads rapidly throughout South America. In California, at least 152 cases have been reported, the first as early as September...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Rais wa Zambia, Edgar Lungu MGOMBEA upinzani nchini Zambia, Hakainde Hichilema, ameongoza katika matokeo ya awali ya uchaguzi wa urais, uliofanyika tarehe 12 Agosti 2021, dhidi ya Edgar Lungu...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Rais wa Afghanistan, Ashraf Ghani, amekimbilia Tajikistan, kwa mujibu wa Al Jazeera! Taliban wameshinda! Taliban wamechukua nchi! Mwezi mmoja uliopita, Rais wa Marekani alisema bila kumung’unya...
6 Reactions
128 Replies
14K Views
Marekani leo imetangaza kuongeza vikosi vya majeshi wapatao 1,000 ili kuongeza na kuimarisha ulinzi katika uwanja wa ndege wa Kabul. Aliekuwa rais wa serikali ya vibaraka Ashraf Ghani ambae...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Mtandao wa kijamii wa Facebook inachukulia Taliban kama kundi la kigaidi na hivyobasi, inapiga marufuku maudhui yote yanayounga mkono Taliban katika majukwaa yao. Kampuni ya Facebook imesema timu...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
Dunia imejaa fitina, wakati Marekani kafungasha virago vyake huko Afghanistan na kuwaachia Wataliban wakijitwalia ushindi mnono na kujiandaa kuunda serikali, China yasema iko tayari kushirikiana...
10 Reactions
50 Replies
5K Views
Biden administration expected to advise Covid booster shots for most Americans 'Screw your freedom': Schwarzenegger calls out anti-vaxxers Washington (CNN)Top health officials in the Biden...
0 Reactions
4 Replies
869 Views
Miaka ishirini baadaye. Picha ya kushoto ukiitazama vyema utaona alama moja nyeusi. Huyo ni mwananchi wa Afghanistan akidondoka kutoka kwenye ndege. Picha ya kulia ni picha moja maarufu...
0 Reactions
0 Replies
853 Views
Nimekutana na Hii kitu mahala nikaona nilete kwa Ma GT Je kuna Ukweli wa hili jambo? kama Lipo hawa sio watu wazuri nna Mashaka nao..Tukae kwa Tahadhari Wananzengo CHANJO YA CORONA KUFANYIWA...
14 Reactions
100 Replies
15K Views
Marekani na washirika wake pamoja na kutumia takribani dola bilioni 89 ($89 billions) kwa kuvifundisha na kuvipa silaha vikosi vya jeshi la Afghanistan kwa takribani miaka 20 hivi, iliwachukua...
14 Reactions
47 Replies
6K Views
IGP wa Polisi Nchini Zambia Afande Kakoma Kanganja (Pichani) tarehe 25.11-2019 aliwaonya wanachama wa Chama cha Upinzani nchini Zambia( UPND) kuwa Wakijaribu Kuandamana polisi wake WATAWAKUNG'UTA...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Mapema baada ya kupata matokeo ya uchaguzi mkuu nchini Zambia nikasema ngoja nifuatilie nini kimesaidia chama hichi kuanguka baada ya wananchi wa nchini Zambia kuamua , nimefuatilia chanel...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nawaza, hivi ingekua Taliban wamechukua nchi kipindi cha Trump sijui ingekuaje, hiyo bado image ambayo Trump angepewa haina mfano. Lakini kwa kuwa alieko madarakani ni kibaraka wao, wanajitahidi...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Nashukuru kwa katibu mkuu wa UN kuitisha mkutano wa dharura na kukemea hili jambo japo wametumia lugha laini sana ni kama wametoa baraka kwa magaidi ya taliban kuingia ikulu kwa unyang'anyi...
10 Reactions
71 Replies
5K Views
Back
Top Bottom