Dunia kuwachekea Magaidi wa Taliban kuvamia Ikulu itakuwa na madhara makubwa

utah jazz

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
875
1,000
Nashukuru kwa katibu mkuu wa UN kuitisha mkutano wa dharura na kukemea hili jambo japo wametumia lugha laini sana ni kama wametoa baraka kwa magaidi ya taliban kuingia ikulu kwa unyang'anyi

Namshukuru balozi wa kudumu wa umoja wa mataifa nchini Pakistan amekemea vikali huu upuuzi wa watu wasiostaarabika kuanzia akili mpaka mazingira yao

Nasikitika sana mataifa makubwa km USA na UK na Russia wanazungumzia kuondoa raia wao tu lakini hawayakemei haya magaidi ya taliban

Kwa siku ya jana tu toka magaidi yateke ikulu kumeanza kuripotiwa uvunjifu wa haki za binadamu kama mauaji ya kulipiza kisasi nk
Km mbakumbuka kipindi haya majamaa yalipokuwa yakitawala serikali zote duniani ziliyakataa isipokuwa nchi moja au mbili za kiarabu zisizostaarabika.

Yalikuwa yamekataza watoto wa kike kusoma,yalikataza kuangalia tv na cinema imagine hawa magaidi wanata nn

Hawa wajinga wanapigana wamevaa makobas bado tunawachekea eti wanapigania dini

What a shame dunia inaelekea wapi?

Umoja wa Afrika inatakiwa itoe statement ya kutoitambua hii Serikali ya magaidi.
 
utah jazz

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
875
1,000
Aliyewakemea ni balozi wa kudumu wa afghanistan umoja wa mataifa
Hizi siasa saa nyingine ni kuziacha, hao unaowaita magaidi wamekuwa wakipata hifadhi, ufadhili na viwanja vya kufanyia mazoezi ndani ya Pakistan afu leo eti balozi wa Pakistan, anawakemea, labda alikuwa anaongea kinyume chake.
 
dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
15,468
2,000
Hiyo nchi imeshindikana; ni kuyaacha yauwane labda yatatia akili. Statement ya kwanza yalipoingia Ikulu ni kuwataka wanawake wote walioajiriwa kuacha kazi mara moja na kubaki majumbani!

Yaani Mama Samia anatakiwa abaki nyumbani kwa mumewe mara moja! Akili matope?
 
SN.BARRY

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
3,924

Ha ha ha
 
Citizen B

JF-Expert Member
May 13, 2019
5,690
2,000
Hiyo nchi imeshindikana; ni kuyaacha yauwane labda yatatia akili. Statement ya kwanza yalipoingia Ikulu ni kuwataka wanawake wote walioajiriwa kuacha kazi mara moja na kubaki majumbani!

Yaani Mama Samia anatakiwa abaki nyumbani kwa mumewe mara moja! Akili matope?
Acha chuki..Ndo Dini inavotaka
 
white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
6,132
2,000
Hahaaaa! AU hata isipowatambua hao itawapunguzia nini?!tena zamu hii mbona wameteka miji kwa ustarabu tu?!!kwani hakukuwa na upinzani mkubwa, kama rais wa nchi amekimbia, huyo mwanajeshi anapigania nini?

Hakuna mauaji makubwa yaliyofanyika, na kulikuwa na makubaliano na USA, kuwa wao wanaondoka hivyo, hivyo wasingetaka kuona wanashambuliwa wakati wanatoa watu wao na kweli hadi sasa, wao USA, wako busy kutoa watu wao wanaowahusu na hadi sasa uwanja wa ndege wa KABUL, uko chini ya majeshi ya nje!!!UN, kwa sasa hana la kufanya, zaidi ya kuwaacha tu waunde serikali yao, na USA, ameshasema pesa zote za serikali ya Afganistan, zilizoko USA, hawatazitoa kwa watalibani!!!wao washirika wako ni RUSSI, CHINA na Uturuki.
 
utah jazz

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
875
1,000
Haya magaidi kichwan mwao nadhani ni kamasi na kukariri kile kitabu kimeaathiri mfumo wa ubongo
Hiyo nchi imeshindikana; ni kuyaacha yauwane labda yatatia akili. Statement ya kwanza yalipoingia Ikulu ni kuwataka wanawake wote walioajiriwa kuacha kazi mara moja na kubaki majumbani!

Yaani Mama Samia anatakiwa abaki nyumbani kwa mumewe mara moja! Akili matope?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom