Kwanza naomba niseme wazi kabisa
Mimi ni kati ya binadamu wanaochukia uonevu na unyonyaji wa binadamu mmoja dhidi ya mwingine. Ile hali ya kuhisi kwamba wewe ni bora na mtu wa maana kuliko...
Na Tom Wanjala
Ripoti ya maonyesho ya pili ya kibiashara kati ya Afrika na China yaliyofanyika kuanzia tarehe 26 hadi 29 mwezi Septemba mwaka huu katika mjini Changsha mkoani Hunan, inaonyesha...
Maonyesho ya kimataifa ya biashara ya Guangdong awamu ya 130 ambayo ni maarufu kwa jina la Canton Fair yamefunguliwa tarehe 15 Oktoba mjini Guangzhou. Maonyesho haya yanatajwa kuwa ni maonyesho ya...
Hapo ndkpo mjue hii chanjo ya corona haisaidii kitu. Marekani ni moja ya mataifa ya kibeberu yaliyofanikiwa kuchanja zaidi ya asilimia 60 ya watu wake. Kiwango hicho kinadharia kinapaswa...
Mamlaka Nchini humo zimewakamata watu sita akiwemo Mwandishi wa Habari kwa tuhuma za kuchapisha uvumi uliodaiwa kuwa na nia ya kuanzisha ghasia.
Miongoni mwa waliokamatwa ni Theoneste Nsengimana...
Said Bouteflika ambaye ni mdogo wa Abdelaziz Bouteflika aliyekuwa Rais wa Taifa hilo kuanzia mwaka 1999 hadi 2019 amehukumiwa kifungo cha miaka miwili gerezani kwa kukwamisha Sheria kuchukua...
By BhejangethunaKmedia
Published 3 hours ago - 4308 views
The Zulu king is a man of controversy, when he was speaking at a Pongolacommunity meeting in March 2015, he said he acknowledges that...
Mamlaka zimesema Watumishi wa Serikali ambao hawajapata Chanjo dhidi ya CoronaVirus hawataruhusiwa Ofisini kuanzia mwezi Desemba
Hadi sasa Nigeria imefanikiwa kutoa chanjo kikamilifu kwa 1% ya...
Serikali ya Uingereza hivi karibuni imetoa muongozo mpya wa udhibitishaji wa Covid19 nchini humo kwa kuongeza masharti kwa baadhi ya a nchi/wananchi watakaotembelea nchi hiyo.
===
Uingereza...
BUSINESS INSIDER | TRENDING
TAKE A LOOK | Inside Cilo Cybin, SA’s first cannabis company to list on the JSE
Ntando Thukwana , Business Insider SA
Oct 12
Cilo Cybin CEO Gabriel Theron. (Image...
Urusi imerekodi idadi kubwa ya vifo vinavyotokana na Virusi vya Corona kwa siku ya pili mfululizo. Nchi hiyo inakabiliwa na Wimbi la maambukizi na vifo, hali iliyopelekea Serikali kuamuru kasi ya...
Iran yadukua technology ya Ulinzi wa Marekani na Israel.
Iran imedukua makampuni yenye technology ya Microsoft ya Ulinzi wa Marekani na Israel. Microsoft Treat Intelligent Center (MSTIC) imetamka...
Picha: Mwila Musonda (Slapdee)
Mwanamuziki Mwila Musonda maarufu kama Slapdee amejiondoa kwenye kuwania Tuzo baada ya kushambuliwa mtandaoni kwa kusherehesha shughuli za kilichokuwa Chama Tawala...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Timu yake mpya iliyoundwa kubaini asili ya Virusi vya Corona linaweza kuwa fursa ya mwisho kupata majibu hayo, huku ikisisitiza China kutoa Data za Visa vya...
Mkutano wa 15 wa kilele wa viongozi wa nchi zilizosaini makubaliano ya bioanuwai (COP 15) umefanyika hivi karibuni katika mji wa Kunming, mkoani Yunnan, China. Rais Xi Jinping wa China alishiriki...
Makundi yanayotetea demokrasia katika taifa la kusini mwa Afrika, Eswatini, yanaeleza kwamba serikali imepeleka wanajeshi na polisi katika shule ambazo wanafunzi wamekuwa wakiendelea na maandamano...
Mamlaka za Afya Mashariki mwa Taifa hilo zimeaza kampeni ya utoaji wa Chanjo ya Ebola baada ya kifo cha Mtoto wa miaka miwili kuibua hofu ya kutokea Mlipuko mwingine mkubwa.
Watumishi wa Afya...
King Mswati III wa eSwatini amewazawadia wakeze (zaidi ya 10) magari mapya aina ya Rolls-Royce. Hatua hiyo imekosolewa kutokana na nchi hiyo kuwa na hali mbaya kiuchumi. Mwaka 2009 Forbes ilimtaja...
Habari mpya kutoka kwa POPE Francis kuhusu scandals zinazoendelea huko .
Tumeona mengi na tutaendelea kuona mengi zaidi.
=======
Pope Francis has admitted that clerics have sexually abused nuns...
Raisi wa mpito wa Guinea aliyetwaa madaraka baada ya kufanya mapinduzi nchini Guinea, ameanza kutoa masomo ya kizalendo kwa taifa hilo, Afrika na duniani kote.
Siku ya Ijumaa, Kanali Doumbouya na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.