kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 8,991
- 17,888
Iran yadukua technology ya Ulinzi wa Marekani na Israel.
Iran imedukua makampuni yenye technology ya Microsoft ya Ulinzi wa Marekani na Israel. Microsoft Treat Intelligent Center (MSTIC) imetamka leo hii jumatatu kwamba wadukuzi wa Iran wamefanikiwa kulenga makampuni ya technology ya Ulinzi ya Marekani na Israel, viingilio vya bandari za Ghuba ya Uajemi na makampuni ya Usafirishaji duniani kwenye mipaka yake pamoja na biashara zilizopo ndani ya mashariki ya kati.
Kampuni zilizodukuliwa ni pamoja na makampuni ya Ulinzi yanayoiunga mkono Marekani, European Countries (EU) na Serikali washirika na Israel ambazo zinatengeneza radars za kisasa, teknologia za #drones, mfumo wa Satellites na mifumo mawasiliano ya dharula(emergency response communication systems.
Udukuzi huo unaambatana na masilahi(interests) ya taifa la Iran . Microsoft wamesema.
Credit: Kilimanjaro News