#COVID19 Vigezo vipya UK (COVID19): Serikali ya Uingereza kutozitambua chanjo zitolewazo Afrika na nchi nyingine, ina maana gani?

I am Groot

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,731
10,033
Serikali ya Uingereza hivi karibuni imetoa muongozo mpya wa udhibitishaji wa Covid19 nchini humo kwa kuongeza masharti kwa baadhi ya a nchi/wananchi watakaotembelea nchi hiyo.

===
Uingereza imetoa msimamo mpya ya kuwa kwa wasafiri wote watokao nchi za Afrika, Marekani ya kusin, Falme za kiarabu, Uturuki, Jordan, Thailand, India na Rusia, kuwa pamoja na kwamba hata kama watakuwa wameshapokea tayari chanjo toka nchini mwao, Sirikali ya Uingereza haitaitambua chanjo hiyo hivyo watatakiwa kukaa karantini nchini humo kwa siku angalau 10 na utaratibu mpya wa uchanjaji.
 
Hawa dawa yao ni kukomaa na vya kwetu mpaka kieleweke. Ifike mahala na sisi tusizitambue chanjo zao af tuone watapata wapi natural resources
 
Hili tangazo halipo specific,issue ni nani amepata chanjo nchi gani au nani amepata chanjo ya aina gani?
Hapo wamezielezea nchi na sio aina ya Vaccine iliyo tumika!
 
Ni hatar sana ni kheri kutulia kuliko kukimbilia kupata Chanjo
Mtu aliyepata Chanjo ni mtu mwenye Ofu, Wasiwasi Na mashaka juu ya wakati uliopo Na unao kuja ni swala la wakati Na Muda.
 
Kuna mtu anaumizwa sana na huu uamuzi, atakuwa alishapanga Kufua na TCJ au TCG kufanya shopping na kwenda Salon.
 
Screenshot_20210920-102541_Instagram.jpg
 
Hawa dawa yao ni kukomaa na vya kwetu mpaka kieleweke. Ifike mahala na sisi tusizitambue chanjo zao af tuone watapata wapi natural resources
Hata kuchimba tu visima vya maji viwasaidieni wenyewe ni tabu, jeuri ya kimukataa vyakao , jeuri ya kuwanyima rasilimali zisizoweza hats kutusaidia wenyewe tunapata wapi. Tunachoweza ni kufanya jeuri hiyo kinafiki na sii kwa matendo.
 
Kila kitu ni spirit to dare and do..hamna kisicho shindikana chini ya jua hili. This is what i mean
 
Back
Top Bottom