Wabunge nchini Benin wamepiga kura kuhalalisha utoaji mimba na kuongeza wigo wa jambo hilo ambalo tayari lilikuwa likifanyika.
Wanawake sasa wanaweza kutoa mimba katika miezi mitatu ya mwanzo ya...
Shirika la Usalama wa Taarifa za Mtandaoni nchini Italia linachunguza jinsi wadukuzi walivyofanikiwa kuiba taarifa za wafanyakazi na watumiaji waliosajiliwa wa Shirika la Hakimiliki la Taifa...
Dunia ina double standard sana.
Hivi karibuni USA ilitoa tenda Kwa nchi ya Australia kuunda Submarine Nuclear na Korea Kusini wanafanya jaribio la kombola kutoka kwenye nyambizi.
Mpaka sasa ni...
Polisi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya waandamanaji wanaotaka Tume Huru ya Uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo
Waandamanaji zaidi ya 10,000 walitapakaa katika mitaa...
Idara ya udhibiti wa bidhaa za afya nchini Afrika Kusini Sahpra , imezuia matumizi ya chanjo ya Urusi ya Sputnik V kwa hofu kwamba huenda ikaongeza hatari ya maambukizi ya virusi vya HIV miongoni...
Watu 16 wameuwawa baada ya waasi kutoka Uganda ADF kukishambulia kijiji cha Kalembo katika wilaya ya Beni nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo usiku wakuamkia leo Alhamisi.
Kisa hicho...
Brazil's president will be accused of a series of crimes over his handling of the country's COVID-19 pandemic, a draft of a major inquiry report says.
The report is the culmination of a six-month...
Kiongozi wa upinzani nchini Urusi aliye gerezani ambaye pia ni mkosoaji mkubwa wa rais Vladmir Putin, Alexei Navalny leo ametunukiwa tuzo ya juu kabisa inayotolewa na Umoja wa Ulaya kuhusu haki za...
Aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump amemtaka mrithi wake, Joe Biden ajiuzulu baada ya wanamgambo wa Taliban kudhibiti Mji Mkuu wa Afghanistan, Kabul, pamoja na Ikulu ya Rais siku ya Jumapili...
Pfizer-BioNTech wamesema utafiti umeonesha ufanisi wa dozi ya tatu ambayo ni ya ku-boost chanjo ni 95.6% ambapo huweza kudhibiti hadi virusi vya Delta
Dozi mbili za awali zina ufanisi wa 84%...
Mohseni-Eje'i : Iran itawafuatilia na kuwatia adabu waliohusika na mauaji ya kigaidi ya Kamanda Soleimani
Mkuu wa Idara wa Mahakama nchini Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu itawafuatilia na...
Maelfua kwa maelfu ya raia wa Brazil waliandamana jana tena nchini humo wakitaka rais wa nchi yao Jail Bolsonaro, aondolewe madarakani, kuhusiana na namna ambavyo anashughulikia janga la COVID-19...
Kila Jumamosi alasiri, Levin Chama mwenye umri wa miaka 11 anakwenda kwenye Kituo cha Mtandao cha Konnect Hub kilicho kwenye mtaa wa 44 wa Githurai wa mji mkuu wa Kenya, Nairobi, ili kusikiliza...
Uingereza imerekodi takribani maambukizi mapya laki 5 kwa wiki mbili zilizopita, na vifo 223 vimerekodiwa Oktoba, 19 idadi kubwa kurekodiwa tangu mwezi Machi
Uingereza imeongoza kwa maambukizi...
North Korea imefanya jaribio la kurusha kombora la balistiki la masafa mafupi toka kwenye nyambizi (submarine) jana October 19, 2021.
Jaribio hilo limefanyika ktk kipindi ambacho wajumbe maalumu...
Nchini Korea kaskazini, watu walo zaliwa tarehe 8 mwezi wa 7 na tarehe 17 mwezi wa 12 hawaruhusiwi kusherehekea siku yao ya kuzaliwa kwa sababu viongozi wao Kim jong I na Kim II_sun walikufa.
Umoja wa Mataifa(UN) umetahadharisha kuhusu mabadiliko ya Tabia Nchi ambayo yanahatarisha maisha waafrika milioni 118 ambao ni masikini wanaoishi chini ya dola 1.9.
Imekadiriwa kufikia 2030 watu...
Misri imewateua kwa mara ya kwanza wanawake 98 kama majaji katika moja ya vyombo vikuu vya idara ya mahakama nchini humo - Baraza la kuu la serikali.
Majaji waliapishwa mbele ya jaji mkuu wa...
Waingereza na watu kutoka mataifa mbali mbali duniani wanaionea huruma Tanzania na watanzania kwa ujumla wake mara baada SSH kumteua aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Uingerea Tony Blair kuwa mshauri...
Zaidi ya watoto 10,000 wameuawa au kujeruhiwa nchini Yemen katika vurugu zinazohusiana na vita vya muda mrefu katika taifa hilo masikini.
Msemaji wa shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.