International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Raisi wa mpito wa Guinea aliyetwaa madaraka baada ya kufanya mapinduzi nchini Guinea, ameanza kutoa masomo ya kizalendo kwa taifa hilo, Afrika na duniani kote. Siku ya Ijumaa, Kanali Doumbouya na...
15 Reactions
29 Replies
3K Views
Marekani imesema itafungua Mpaka wake wa Ardhi na Mataifa ya Mexico na Canada kuanzia Novemba kwa Wasafiri waliopata Chanjo dhidi ya CoronaVirus. Taifa hilo lilibana masharti ya kusafiri kutoka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nigerian doctor, Dr. Richard Okoye rejected an offer of 20 million US dollars from a corporate group in Dubai in 2012 who wanted to take over his “Save A Life” mission in 2012 and yet went on to...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Baada ya kuchezea kipigo cha Wapalestina Gaza, Israel iliiomba Marekani iingilie kati Jun 06, 2021 02:31 UTC Gazeti moja la Kizayuni limefichua kuwa, utawala haramu wa Israel uliiangukia miguuni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI". kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17. Bei ya kitabu hiki ni Tsh 50,000/- Pia waweza kupata...
56 Reactions
424 Replies
89K Views
Mzuka wanajamvi! Hizi ajali za ndege binafsi na Helicopter zinaua sana matajiri sasa hivi. Ajali mbaya ya ndege binafsi The single-engine Cessna P210N ilianguka DeKalb-Peachtree Airport...
5 Reactions
22 Replies
4K Views
Washington Post: Ukoo wa Aal Saud ulimpa zawadi 'feki' Donald Trump Oct 12, 2021 02:30 UTC Gazeti la Washington Post la nchini Marekani limefichua kuwa, familia ya kifalme ya Saudi Arabia ilimpa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Hawa taliban walifikiri kuongoza nchi ni sawa na kuvaa kanzu, vilemba, kubeba bunduki na kupiga hovyo? Unambiwa sasa wanadaiwa mabilioni yanayotokana na malipo ya bill ya kununu umeme toka kwa...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Israeli Government on Monday approved the appointment of the clandestine security agency Shin Bet new Director, Ronen Bar. Ronen Bar, 55, holds a Bachelor’s Degree in Political Science and...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN), Antonio Guterres amekosoa ahadi hewa zilizotolewa na Taliban kwa Wanawake na Wasichana wa Afghanistan, akihimiza Mataifa kutoa fedha kwa Nchi hiyo ili kuepusha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika Ripoti iliyotolewa leo, Wabunge wameikosoa Serikali kwa namna ilivyoshughulikia mlipuko wa CoronaVirus katika hatua za mwanzo, ikisema ilishindwa kuchukua hatua za haraka na kupelekea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mkutano wa mwaka 2021 wa Shirika la fedha la Kimataifa IMF na Benki ya dunia unafanyika wiki hii (Oktoba 11 - Oktoba17) mjini Washington nchini Marekani. Kama kawaida mkutano huu unakutanisha...
0 Reactions
0 Replies
556 Views
Gavana wa jimbo la California Gavin Newsom amesaini sheria inayopiga marufuku utoaji wa mipira ya kondomu bila makubaliano iliyowasilishwakatika muswada ulioitwa "stealthing". Sheri ampya...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Takriban Wiki 11 baada ya Rais Kais Saied kumfukuza kazi Waziri Mkuu na kusitisha shughuli za Bunge, kitendo kilichofanya ashikilie Madaraka yote, Taifa hilo limetangaza Serikali mpya Waziri Mkuu...
0 Reactions
1 Replies
952 Views
Muqawama wa Palestina wafanyia majaribio kombora jipya Chaneli ya televisheni ya Quds imetangaza kuwa muqawama wa Palestina umefanyia majaribio kombora jipya katika kujizatiti na kuimarisha zaidi...
0 Reactions
0 Replies
624 Views
Ripoti katika gazeti la New York Times inasema kwamba watengenezaji wa chanjo ya Moderna wamekuwa wakitoa chanjo zao kwa mataifa tajiri tu. Ripoti katika gazeti la New York Times inasema kwamba...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Waendesha mashtaka nchini Misri wametoa amri ya watu watatu kukamatwa baada ya maelfu ya dozi za chanjo za corona kutupwa katika mji wa Minya, ambao uko kilomita 200 kutoka kusini mwa mji wa...
0 Reactions
0 Replies
697 Views
Siku moja baada ya kutangazwa kuwa Hati za Kusafiria (Passport) zitaanza kutolewa, mamia ya wananchi wamejitokeza katika Ofisi hiyo Huduma hiyo ilisitishwa baada ya Taliban kuchukua madaraka...
5 Reactions
47 Replies
4K Views
Takriban watu 20 wameuawa katika eneo la Sokoto baada ya watu wenye silaha kuvamia soko na kuchoma magari. Tukio hilo ni mwendelezo wa ghasia za magenge ya uhalifu Nchini humo Tangu Desemba 2020...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kansela wa Austria Sebastian Kurz amesema anapanga kujiuzulu kutokana na shinikizo la tuhuma za ubadhirifu, na nafasi yake itajazwa na waziri wa mambo ya nje. Kurz amekuwa akikabiliwa na tuhuma...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom