Hiii imekaaje wakuu?

Hiii imekaaje wakuu?

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,117
Reaction score
8,096
Waingereza na watu kutoka mataifa mbali mbali duniani wanaionea huruma Tanzania na watanzania kwa ujumla wake mara baada SSH kumteua aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Uingerea Tony Blair kuwa mshauri wa maswala ya Vovid-19 and biashara.

Wengi wa wanasema kuwa haya yote yasingetokea kama JPM anagalikuwa hai.

Hizi ni baadhi ya tweet;

"She may live to regret this."

"Well we know where Tanzania is going then. Totally in the pocket of the WHO and the covid power brokers. B-lair is such a snake".

"To entrust the lamb to the wolf".

"The capo has been sent to make an offer she can't refuse."

"After strange death of former president...."
She had to. We all know what happened to president Magufuli that didn’t comply with the Covid-Nazis."

"If you ever see Tony Blair in your country just know you guys are about to be swindled immeasurably!".

"Pray for Tanzania " [emoji52]

Chanzo: Jamii ya Twitter.

IMG_20211019_224008.jpeg
 
Mh, wanayasema hayo (km ni kweli ni wao na sio uzushi) huku wao wenyewe wakiwa wamewahi kumchagua kabisa kuwa Waziri Mkuu wao....cheo cha hali ya juu kuliko vyote. Km sio unafiki ni nini?!! Hata hivyo, kwenye mamilioni ya waingereza, kutokea vijitu vitatu au vinne kumkandia sio jambo la ajabu hata kidogo.
 
Back
Top Bottom