Benin: Bunge lahalalisha utoaji mimba

Benin: Bunge lahalalisha utoaji mimba

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
Wabunge nchini Benin wamepiga kura kuhalalisha utoaji mimba na kuongeza wigo wa jambo hilo ambalo tayari lilikuwa likifanyika.

Wanawake sasa wanaweza kutoa mimba katika miezi mitatu ya mwanzo ya ujauzito iwapo kama ujauzito huo utamsababishia shida katika masuala ya elimu, kazi, maadili au mtoto anaweza kuathiri maisha ya mama au kwa ajili ya maslahi ya mtoto.

Kabla, utoaji mimba ulikuwa unaruhusiwa kisheria endapo mwanamke alibakwa au maisha ya mama yalikuwa hatarini kwasababu ya ujauzito.

Benin ilikuwa inaruhusu utoaji mimba kama afya ya mtoto ambaye hajazaliwa itaathirika.

Sheria mpya , ilipitishwa Jumatano usiku baada ya majadiliano makali bungeni , lakini bado katiba inapaswa kupitishwa mahakamani kabla ya utekelezaji kuanza.

Waziri wa afya Benjamin Hounkpatin ameunga mkono sheria mpya hiyo na kusema itaweza kuleta haueni kwa wanawake wengi ambao wanapata ujauzito wasioutaka na hivyo kutafuta njia hatari zinazohatarisha maisha yao ili kutoa mimba.

"Nchini Benin, karibu wanawake 200 wanakufa kila mwaka baada ya kupata matatizo wakati wa kutoa ujauzito ," alisema.
 
Aisee sasa hapo wamewapa wanafunzi ruksa ya kuchoa mimba bila woga
 
Sijui Tz tunasubiri nini.
Mimi nataman hasa biashara ya ukahaba iruhusiwe kisheria. Faida ni nyingi kuliko hasara. Alafu tuache kuchanganya hoja za kisheria na vitabu vya hadithi za kimapokeo au dini zetu. Tuondoe mipaka isiyo na tija kwa watu wote.
 
unapenda zinaa?
 
unapenda zinaa?
Sijui zinaa ni nini lakin walau ninachojua ni, nina kias katika kila jambo. Ndo mana nikasema faida ni nyingi kuliko hasara.
1. Changamoto za ndoa na upungufu wa utashi wa kuoa/kuolewa
2. Afya. Ni rahisi kuwa makin had kutumia kinga kuliko mke na geti kali feki au dogodogo.
3. Muda. Kutongoza na kumpa mwenzio muda wa kufanya kutofanya kitu eti unajari huku shughuli muhim zinazorota inaua ubunifu na tafakar kwa mambo ya maana.
4. Uchumi. Mpenzi anatumia gharama nying kama v8 kumtunza kuliko bajet ya kulipia unapohitaj. Ikumbukwe ngono si hitaj la msingi kwa dunia ya leo. Inazidiwa hata mpora au movie au bia/wine/COCKTAIL.
5. Haki ya kungonoka ni haki. Namaanisha kwa wafanyakaz na wafanya biashara wanapokuwa mbali mbali na wenza wapate haki hiyo kama ilivyo chakula.
6. Tax. Serkali itapata kodi. Na itapunguza gharama za kuagza madawa na kuhudumia wagonjwa wa ngono zembe. Hakuna wa kutembea na sexworker bila alarm kulia ya kinga.
7. Enjoy the difference rule. Watu wapate flavours tofaut za kitendo hiki bila hofu ya kisheria. Ikumbukwe kuna wanaoolewa na wenye matatzo ya nguvu za kiume au nguvu nying za kike na kinyume chake. Watapata mbadala kirahis kwa kununua. bila kes.
8. Wanadam ni kama viumbe wengine. Wapewe uwanja mpana wa kuishi wapendavyo. Sheria zinazoletwa mlango wa kanuni feki za kibinadam zinakiuka haki za msing za kuwa kiumbe huru.
 
Kutoa mimba Ni kukaidi maagizo la MUUMBA wetu kuja kuijaza hii dunia.

Lazima uangalie unakuja kuijaza dunia kwa mtindo upi, kumbuka hata nguruwe pori naye anaijaza dunia kwa njia hiyo hiyo binadamu anayoitumia.
 
Sijui zinaa ni nini lakin walau ninachojua ni, nina kias katika kila jambo. Ndo mana nikasema faida ni nyingi kuliko hasara.
1. Changamoto za ndoa na upungufu wa utashi wa kuoa/kuolewa
2. Afya. Ni rahisi kuwa makin had kutumia kinga kuliko mke na geti kali feki au dogodogo.
3. Muda. Kutongoza na kumpa mwenzio muda wa kufanya kutofanya kitu eti unajari huku shughuli muhim zinazorota inaua ubunifu na tafakar kwa mambo ya maana.
4. Uchumi. Mpenzi anatumia gharama nying kama v8 kumtunza kuliko bajet ya kulipia unapohitaj. Ikumbukwe ngono si hitaj la msingi kwa dunia ya leo. Inazidiwa hata mpora au movie au bia/wine/COCKTAIL.
5. Haki ya kungonoka ni haki. Namaanisha kwa wafanyakaz na wafanya biashara wanapokuwa mbali mbali na wenza wapate haki hiyo kama ilivyo chakula.
6. Tax. Serkali itapata kodi. Na itapunguza gharama za kuagza madawa na kuhudumia wagonjwa wa ngono zembe. Hakuna wa kutembea na sexworker bila alarm kulia ya kinga.
7. Enjoy the difference rule. Watu wapate flavours tofaut za kitendo hiki bila hofu ya kisheria. Ikumbukwe kuna wanaoolewa na wenye matatzo ya nguvu za kiume au nguvu nying za kike na kinyume chake. Watapata mbadala kirahis kwa kununua. bila kes.
8. Wanadam ni kama viumbe wengine. Wapewe uwanja mpana wa kuishi wapendavyo. Sheria zinazoletwa mlango wa kanuni feki za kibinadam zinakiuka haki za msing za kuwa kiumbe huru.
Nikikuita wewe NI mtoto wa ZINAA.nitakuwa nimekosea?
 
Huendi mbinguni ujue
 
Huendi mbinguni ujueilobd uanze na swali

Huendi mbinguni ujue
Usijiaminishe kwamba watu wote tunaamin kama unavoamin. Mbingun kwako kunaweza kuwa si mbingun kwangu. Huenda nasubir tu ufalme wa Mungu uje hapa hapa dunian. Si vema ulicholishwa ndo uamin wote tumekula hicho hicho. Hata uwepo wa Mungu hatujawai kukubaliana sembuse viambatanisho vya sifa na sheria zake! Najiuliza kwanini mataifa yasiyo na iman za kuletewa wana aman na usawaziko kuliko nchi za Mungu anasema hiv?
 
Aisee sasa hapo wamewapa wanafunzi ruksa ya kuchoa mimba bila woga
Kuna maelezo ambayo sijayadhitisha yanaeleza kuwa baadhi ya chanjo zinatumia baadhi ya viumbe hawa wasio na hatia!!! Baadhi ya makampuni ya chanjo yamulikwe uhusiano wao na Benin.
 
Back
Top Bottom