Jamani Leo nimepita pita youtube kucheki baadhi ya exclusive music nimekutana na hii mkenya kakoment kwenye ngoma ya Harmonise kasema wasafi ipo kwao
Nimeishia kucheka tu
[emoji1] [emoji1]...
Asante, heshima na shikamooo vyombo vyote vya habari ambavyo vinajitambua vinafahamu sheria na taratibu na haziyumbishwi na mtu yeyote. Yule aliyejiona ni mungu wa DAR kwa sasa anapumulia mashine...
Habari wanajukwaa tafadhali naomba msaada wakuelimishwa kuhusiana na mradi huu,ninachopenda kufahamu ni jinsi ya wanavyolipa fidia kwa wakazi waliojenga karibu na barabara au nyumba zinazotazama...
Hallow poleni na hekahek za pasaka.
Ipo miti ya mbaoa aina ya pines inauzwa ipo Mafinga Iringa ina umri wa miaka 9 na zpp ekari 13 asanteni.Aliye penda naomba tuonane PM
Jeshi la Polisi Zanzibar limesema kuwa limelazimika kufunga vituo vidogo katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja kutokana kukabiliwa na upungufu wa Askari visiwani hapo.
Hayo yamesemwa na Kamishna...
“NILIPOKUWA na umri wa miaka 13, dada ya rafiki yangu mkubwa alitualika nyumbani kwao jioni moja. Kila mtu akaanza kuvuta bangi. Mwanzoni, nilikataa, lakini mwishowe nilionja baada ya kusihiwa...
salam, unapopewa mtihan wowote lazima uwe na mafunzo na mbinu za kufaulu mtihani huo. kama maisha ni mtihan namna gani tutafaulu angali mtihani wenyewe ni mmojaa wengine tumeachwa bila mbinu na...
Wana bodi salamu.
Naamini hapa lilioshindikana kwingine hapa linawezekana.
Miaka ya 1996 hadi 1999, nilikuwa napenda kusikiliza Nyimbo za Timoth Ng'winamila, na albamu yake ya Mwana Mpotevu...
Jamani naombeni taratibu za kukwapua fedha zangu mfuko wa pensheni wa LAPF kabla ya kustaafu.Miaka ya kustaafu bado mingi sana nataka kuacha kazi niingie mtaani.
Asanteni.
Hii ni wiki ya pili kila nikilala naota Nmekamatwa na Trafic. Leo asubuhi nimeamka naenda kuoga nakutana na jirani yangu nae katoka kuoga kajifunga taulo jeupe na kichwani kavaa mfuko mweusi...
JEURI YA MATAJIRI KATIKA MSIBA WA YESU
NGOJA NIKUONESHE JINSI "MSIBA WA YESU" ULIVYOENDESHWA "KITAJIRI"(YOH. 19:38-42)
1. Watu wawili waliokuwa Matajiri sana ndio waliogharimia Mazishi ya Yesu...
Mheshimiwa, ntoa malalamiko yangu kuhusu kunyang'anywa kiwanja chenye nyumba, na mama mmoja wa kinyarwanda. Mimi Anatori Rwabudaga wa Nyakanazi, kata ya Lusahunga wilaya ya Biharamulo...
Wakuu kuna wimbo mpya wa Kundi la Joh Makini na G.Nako unaitwa Madaraka ya Kulevya. Wimbo huo una mistari inayofikirisha sana.
Baadhi ya Mistari ya Track hivyo
1.Umenipa madaraka ya Kulevya...
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Dkt. Tito E. Mwinuka kwa Niaba ya Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wa TANESCO anawatakia nyote Heri ya Sikukuu ya Pasaka.
Aidha, anawasihi...
Yaani sasa hivi bando hata ukijiunga 2GB hata halikai!
Hebu acheni hizo bwana maisha yenyewe yako wapi mpaka mnakata bando kiasi hicho?
Mtandao wenyewe bado unazngua ila hiyo rate ya kukata bando...
Sony Xperia Z3 Brown Color USA version .
3Gb Ram, 16 GB internal, 4G LTE , With its Original Charger and Cover. Used for two months only.
Price. 480,000/= maongezi yapo. Niko Arusha DC.
wakuu hakuna asiyejua miongoni mwetu kuwa,jiji la DODOMA linaongoza kuwa na UBUYU mwingi tena mtamu, sasa kwa nini kisijengwe kiwanda cha kutengeneza ubuyu?