Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mh. Rais samahani kuwasiliana na wewe kwa njia hii ya mtandao maana kukufikia ana kwa ana si jambo rahisi. Mimi ni mama mjane ninaishi mbezi beach Dar es salaam na watoto wangu. Benki ya...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Watatu mikononi mwa polisi kwa uvamizi mkutano wa CUF Kwa ufupi Akizungumza na waandishi wa habari leo (Jumatatu) Sirro amesema shauri la kesi hiyo limekwishafunguliwa na upelelezi unaendelea...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Leo ni siku ya kuadhimisha Ugonjwa wa Malaria Dunia ..Ugonjwa unaongoza kwa kusababisha vifo kwa watoto. Ujumbe kwa jamii tupambane na mbu,mazalia yake,kuweka mazingira ktk hali ya...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau nmelala huku nmezima taa lakini nasikia sauti ya mtu akikoroma pembeni yangu..lakini simuoni..
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Operation inayoendelea ya kukamata viroba baada ya kupigwa marufuku na Waziri Mkuu March mosi mpaka sasa wamekamata viroba vya thamani ya shillings billion 10. Sijui ndiyo wanaviharibu sasa au...
1 Reactions
71 Replies
8K Views
The entire U.S. Senate has been invited to the White House for a briefing Wednesday on the North Korea situation, amid escalating tensions over the country’s missile tests and bellicose rhetoric...
0 Reactions
2 Replies
776 Views
Tukio hili la kuhudhunisha limetokea leo katika kata ya Bukoli jimbo la Busanda mkoani Geita. Katika hali isiyotarajiwa watu wasiojulikana waliingia nyumba ya kulala wageni kisha wakaagiza bia...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Nashangaa mapka sasa mafao ya uzeeni yatolewayo na NSSF na PPF ni kidogo ukininganisha na mchango we Mwanachama.Angalia mfano wa kweli hapa chini: i)Juma Alistaafu tarehe 30/6/2012 baada ya...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Siku moja ,Nilipanda basi la mkoani (sio TZ),bus attendant akaweka documentary film ,nakumbuka jinsi abiria walivyokua wakibadilishana mawazo kutokana na facts zilizokua zinasimuliwa kwenye...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimeanza kazi na nimelipia nyumba laki 2 na nusu kwa miezi 6 sasa kichwa kinauma ikiisha hyo miezi 6 itakuwaje?naomba msaada kwa wazoefu hela za miezi 6 mnatoaga wapi? Una save kwenye mshahara au...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nakumbuka nilikuwa naishi maeneo ya ununio, ni maeneo yenye bar za ufukweni na shughuli za uvuvi nyingi, Nilikuwa na tabia ya kwenda ufukweni nyakati za usiku kuanzia saa moja, karibu na bar, ili...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu niaje? Nimeipata hii kwenye group flani eti kada wa CCM wilaya ya Kilombero ampiga police na kumjeruhi kama mnavyomwona pichani Kama ni kweli basi CCM walaaniwe Kwa hili manake wanafanya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu habari, Kuna nyumba yetu ya urithi ipo Mbeya. Nilikuwa nahitaji kujua ni nani anaetathmini thamani ya nyumba? Na gharama zao zikoje? Na vilevile ni hatua gani nifuate kuepuka kutapeliwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari Wakuu, Naomba kufahamu upi ni mfuko mzuri kujiunga kama mwanachama (na sio kuwa muajiriwa wa mfuko). Kwa maana nyingine kama mtu kaajiriwa sehemu fulani na akapewa uhuru wa kuwa...
2 Reactions
160 Replies
54K Views
Hodi wana jamvi leo nimekusudia kuongelea waendesha Pikipiki maarufu bodaboda. Kweli hii kazi imekuwa ni msaada mkubwa wa ajira kwa vijana wetu na kurahisisha usafiri maeneo mengi ajira hii imenea...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mtaje mwalimu aliyekufundisha kitabu ,shule na mwaka.Kuna mwalimu alikuwa anaitwa Muneja mwembetogwa sekondary 1997.utasikia.The river between ,James Ngugi wa Thiong'o,makuyu and kameno ,Honia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Afrika ni miongoni mwa bara lenye nchi nyingi maskini duniani lakini hii inaweza kukushangaza kwani kuna baadhi ya nchi zinatajwa kuwa na ndege za Rais zenye gharama kubwa ukilinganisha na ndege...
1 Reactions
15 Replies
7K Views
Tanzania Tunajivunia vitu ambavyo hatukushiriki kuvileta. Tanzania inajivunia Tembo,Mito na bahari,Kilimanjaro,Maziwa,Madini vitu ambavyo hatukutumia akili zetu au maarifa kusababisha viwepo...
3 Reactions
59 Replies
5K Views
habar zenu waku!naiman mpo salam kabsa,,nacukua fursa hii kutoa kma ukumbusho ,,kwa ndugu zang wa ki islam ,,kwamba mwezi mtukufu umekaribia (Ramadhan)tujianda eni kwakukisogeza kwa Mungu zaidi...
9 Reactions
23 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…