Cham Bee
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 3,516
- 1,854
Tukio hili la kuhudhunisha limetokea leo katika kata ya Bukoli jimbo la Busanda mkoani Geita.
Katika hali isiyotarajiwa watu wasiojulikana waliingia nyumba ya kulala wageni kisha wakaagiza bia wakanywa baada ya kumaliza kulewa walitekeleza mauaji hayo.
Sababu ya kutokea kwa tukio hilo bado haijajulikana na mpaka sasa wananchi wapo katika wasiwasi mkubwa.