Nasikia Sauti ya mtu anakoroma

Nasikia Sauti ya mtu anakoroma

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
8,129
Reaction score
8,378
Wadau nmelala huku nmezima taa lakini nasikia sauti ya mtu akikoroma pembeni yangu..lakini simuoni..
 
Wadau nmelala huku nmezima taa lakini nasikia sauti ya mtu akikoroma pembeni yangu..lakini simuoni..
Muwe munawalipa wadeni wenu,naona kakungoja weee,sasa anakukumbusha kwa lugha ya kiutu uzima.mimi najua watu wa kilimanjaro hamuiekewi hiyo elimu
 
Jini mahaba huyo ukilala lazima akugegede dadeki zako. Na makalio ukiyaweka juu lazima uliwe utamu[emoji23] [emoji23]



Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Wadau nmelala huku nmezima taa lakini nasikia sauti ya mtu akikoroma pembeni yangu..lakini simuoni..
Popobawa hilo limemaliza kukugegeda ndo likapitiwa na usingizi mzito!
 
Back
Top Bottom