Majeruhi 3 waliopelekwa Marekani kwa matibabu zaidi wanaendelea vizuri. ni jambo la kushukuru Mungu kwa kweli.
UPDATE: Tanzanian bus crash survivors doing "remarkably well"
Source: Mwananchi.
Kila siku watafiti wana habari mpya kuhusiana na maisha, tumeona tafiti nyingi zikifanywa zikiwemo za magari, majumba, watu maarufu.. Lakini sikuwahi kufikiri kwamba kuna siku nitakutana na...
Leo kuna mtu kajitumia pesa kutoka kwenye account yangu ya tigo pesa kiasi cha Laki mbili na nilipo wapigia Tigo wamesema niende polisi na kiukweli they don't cooperate kabisa kwa upande wangu...
Haihitaji kuwa na degree ya uzamivu kujua kwamba kamanda Simon Sirro anatekeleza majukumu yake kwa shida. Historia yake, makuzi yake, wajihi wake vyote vinakuonyesha kwamba kamanda huyo...
Habari zenu wanajamvi,
Hivi karibuni kumekuwa na utata hapo kanisani. Kwamba inavyoonyesha kuwa baada ya kifo cha mwanzilishi wa kanisha hilo Elia R.I.P kumekuwa na utata unaonekana umekaaa...
Mbona Watanzania tumejaa na imani za ajabu ajabu mno?! kuwawekea watoto wetu mafuta ya taa mashuleni, kuuwa albino, kukeketa, kuuwa bibi zetu wenye macho mekundu, kuogopa sensa, kuganga sehemu za...
Siloam ni kanisa linalosadikiwa kuwa la kilokole lakini ni majanga makubwa.Sloam wana kauli mbiu yao(shika neno tenda neno)Mimi nimefanya kazi na nesi mmoja anayesali Sloam huyu nesi alikuwa ni...
Uandishi wa habari ni sanaa(arts),ila mahojiano ni sayansi(science),katika kazi ya uandishi wa habari,changamoto kubwa tunayokutana nayo ni namna ya kumhoji chanzo kigumu(difficult source),mfano...
Rejea kichwa cha habar,
Nimesoma maana nzima ya amri hiyo kutoka maeneo mbalimbali,kwa lugha ya wenzetu na pia lugha yetu, ikimaanisha,..adultery ni sexual relation ambayo atleast mmoja wa...
Yaani nikifikiria msaada uliotolewa na raia wa kawaida kabisa wa Kimarekani baada ya kuona ajali ya watoto kule Arusha, nsishia kumshukuru Mungu tu.
Ajali ile imetikisa mioyo ya watu duniani, na...
Nimesoma habari ya kuondolewa kazini kwa wasio na sifa. Hawa ni wale waliopita shortcuts ya njia za kuingia vyuo vikuu na kupata ajira serikalini. Kwa vyovyote habari kama hii itapokelewa kwa...
Kiuhalisia Serikali inapokusanya pesa kwaajili ya kusaidia Majanga mfano tetemeko la kagera, Lazima fedha hizo baadhi zitumike kurekebisha miundo mbinu iliyoharibika kutokana na tetemeko na baadhi...
Uandishi wa habari ni sanaa(arts),ila mahojiano ni sayansi(science),katika kazi ya uandishi wa habari,changamoto kubwa tunayokutana nayo ni namna ya kumhoji chanzo kigumu(difficult source),mfano...
Leo nilikuwepo sokoni sadala nauza nyanya jamaa mmoja akaniambia ukiona mtu anakula rambirambi ujue kuna kitu anataka na atakipata.
Kwa utamaduni wa watu wa hapa Hai mkoani kilimanjaro, watu...
Mtoto wa miaka mitatu amefariki dunia, huku wanafamilia wengine 10 wakinusurika baada ya kula mihogo ya kuchemsha inayosadikiwa kuwa na sumu.
Tukio hilo lilitokea Mei 19 eneo la Mbondole Manispaa...
Habari Ndugu zangu wa JF natumaini nyote ni wazima kabisa,wote tunaendelee kujenga taifa la Tanzania kwani tutakumbukwa daima hata wakati tutakapo tangulia mbele za haki.
Pia namshukuru Mungu Kwa...