Mlachake
JF-Expert Member
- Oct 13, 2009
- 4,435
- 4,608
Kiuhalisia Serikali inapokusanya pesa kwaajili ya kusaidia Majanga mfano tetemeko la kagera, Lazima fedha hizo baadhi zitumike kurekebisha miundo mbinu iliyoharibika kutokana na tetemeko na baadhi zitumike kuwasaidia wale walioadhirika sana na janga husika na hawana uwezo.
Huu ni utaratibu halali kabisa wala sio wakupingwa.
Napata kigugumizi na hili la 56 milion huko Arusha Niseme tu kuna tatizo mahali. siandiki sana nawaachie nyie muandike nitakuja kumalizia.
Tafakari.
Huu ni utaratibu halali kabisa wala sio wakupingwa.
Napata kigugumizi na hili la 56 milion huko Arusha Niseme tu kuna tatizo mahali. siandiki sana nawaachie nyie muandike nitakuja kumalizia.
Tafakari.